Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hapo ndipo tulipofikishwa kisa 50/50 wanawapa uongozi hata wasiyo na uwezoBinafsi sina imani na mwanamke!! Wanawake woote hawana maamuzi binafsi............
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndipo tulipofikishwa kisa 50/50 wanawapa uongozi hata wasiyo na uwezoBinafsi sina imani na mwanamke!! Wanawake woote hawana maamuzi binafsi............
.
Siku zote Tpdf ndiyo walinzi sahihi wa nchi yetu.Taasisi zote za wizara ya mambo ya ndani ni za hovyo. Bora CDF amewaumbua.
Bora kiwe kitengo ndani ya JWVile vile Jeshi la Uhamiaji lifumuliwe kwa kuota vitambi na kutofanya kazi iwapasayo.
Anamaanisha mjombaangu wa karagwe Ino!!!Comment yako zuri sana mkuu, ila wenye akili mende hawawezi kuelewa 🤝
Atakuwa alipanda nae pundaWe Bwashe Mussa ulimuona wapi?
Kiuhalisia inatakiwa kuwa hivyo mkuuBora kiwe kitengo ndani ya JW
Kwani unafikiri serikali hailifahamu hilo? Tatizo utekelezaji wake utafumua mengi mabaya ambayo vigogo wananufaika navyo!View attachment 2880164
General JJ Mkunda.
View attachment 2880166
Commissioner General Immigration Anna Makakala.
Jeshi la Wananchi Tanzania kupitia Mkuu wa Jeshi JWTZ, has again done us proud.
Mkuu wa Jeshi, CDF General Jacob John Mkunda amelezea tishio la usalama wa nchi kutoka angle ambayo kuna jeshi lingine lipo kwa ajili hiyo pekee, Jeshi la Uhamiaji.
Je ni kwamba Jeshi la Uhamiaji halijui tishio hilo la Ulinzi na Usalama kwa nchi, na kutoliweka hilo hadharani?
General Mkunda si tu amelezea kuwepo tatizo la wakimbizi wengi nchini waliokaa muda mrefu bila kurudishwa kwao, lakini kaweka wazi kuwa wamefanya utafiti kuwa kuna wakimbizi waliokaa nchini kwa muda mrefu kiasi kwamba watoto wao au wao wenyewe wameanza kupata vyeo vya kimaamuzi ndani ya serikali na taasisi za umma.
Tunamshukuru Gen JJ Mkunda kwa kuiona the bigger picture(Vision) ya kiusalama, vision mbayo Idara ya Immigration imeshindwa kuiona.
Hii natisha
Ulinzi ni pamoja na kuondoa threat ya the 5th Column, adui aliyepandikizwa from within.
Serikali isiposhughulikia hili kwa haraka itajilaumu yenyewe within 5 to 10 years.
Vile vile Jeshi la Uhamiaji lifumuliwe kwa kuota vitambi na kutofanya kazi iwapasayo.
Mtanganyika ni nani? Nini viashiria vya uTanganyika?View attachment 2880164

Dokta Kodi?!Comment yako zuri sana mkuu, ila wenye akili mende hawawezi kuelewa 🤝
Mtanganyika ni Mtanganyika!Mtanganyika ni nani? Nini viashiria vya uTanganyika?
Yafumuliwe na liwalo na liwe.Kwani unafikiri serikali hailifahamu hilo? Tatizo utekelezaji wake utafumua mengi mabaya ambayo vigogo wananufaika navyo!
Sehemu walikowekwa jinsia Ile nchi nzima ni shida kuanzia wakurugenzi wa Halmashauri hadi mawaziri.
Hadi bibi yule
Hawa watu wako kazini siku nyingi sana na ndiyo maana mambo mengi hayaendi. Miradi mingi mikubwa, mimkakati mingi ya tz haifanikiwi.View attachment 2880164
General JJ Mkunda.
View attachment 2880166
Commissioner General Immigration Anna Makakala.
Jeshi la Wananchi Tanzania kupitia Mkuu wa Jeshi JWTZ, has again done us proud.
Mkuu wa Jeshi, CDF General Jacob John Mkunda amelezea tishio la usalama wa nchi kutoka angle ambayo kuna jeshi lingine lipo kwa ajili hiyo pekee, Jeshi la Uhamiaji.
Je ni kwamba Jeshi la Uhamiaji halijui tishio hilo la Ulinzi na Usalama kwa nchi, na kutoliweka hilo hadharani?
General Mkunda si tu amelezea kuwepo tatizo la wakimbizi wengi nchini waliokaa muda mrefu bila kurudishwa kwao, lakini kaweka wazi kuwa wamefanya utafiti kuwa kuna wakimbizi waliokaa nchini kwa muda mrefu kiasi kwamba watoto wao au wao wenyewe wameanza kupata vyeo vya kimaamuzi ndani ya serikali na taasisi za umma.
Tunamshukuru Gen JJ Mkunda kwa kuiona the bigger picture(Vision) ya kiusalama, vision mbayo Idara ya Immigration imeshindwa kuiona.
Hii natisha
Ulinzi ni pamoja na kuondoa threat ya the 5th Column, adui aliyepandikizwa from within.
Serikali isiposhughulikia hili kwa haraka itajilaumu yenyewe within 5 to 10 years.
Vile vile Jeshi la Uhamiaji lifumuliwe kwa kuota vitambi na kutofanya kazi iwapasayo.
Ifanywe kampeni maalum kuwaondoa.Hawa watu wako kazini siku nyingi sana na ndiyo maana mambo mengi hayaendi. Miradi mingi mikubwa, mimkakati mingi ya tz haifanikiwi.
Migration wao ni rushwa ., rushwa na wwView attachment 2880164