Jeshi la Uhamiaji limeumbuka kiutendaji, CDF-JWTZ ameeleza wazi waliyoshindwa kueleza

View attachment 2880164
General JJ Mkunda.

View attachment 2880166
Commissioner General Immigration Anna Makakala.

Jeshi la Wananchi Tanzania kupitia Mkuu wa Jeshi JWTZ, has again done us proud.

Mkuu wa Jeshi, CDF General Jacob John Mkunda amelezea tishio la usalama wa nchi kutoka angle ambayo kuna jeshi lingine lipo kwa ajili hiyo pekee, Jeshi la Uhamiaji.

Je ni kwamba Jeshi la Uhamiaji halijui tishio hilo la Ulinzi na Usalama kwa nchi, na kutoliweka hilo hadharani?

General Mkunda si tu amelezea kuwepo tatizo la wakimbizi wengi nchini waliokaa muda mrefu bila kurudishwa kwao, lakini kaweka wazi kuwa wamefanya utafiti kuwa kuna wakimbizi waliokaa nchini kwa muda mrefu kiasi kwamba watoto wao au wao wenyewe wameanza kupata vyeo vya kimaamuzi ndani ya serikali na taasisi za umma.

Tunamshukuru Gen JJ Mkunda kwa kuiona the bigger picture(Vision) ya kiusalama, vision mbayo Idara ya Immigration imeshindwa kuiona.

Hii natisha

Ulinzi ni pamoja na kuondoa threat ya the 5th Column, adui aliyepandikizwa from within.
Serikali isiposhughulikia hili kwa haraka itajilaumu yenyewe within 5 to 10 years.

Vile vile Jeshi la Uhamiaji lifumuliwe kwa kuota vitambi na kutofanya kazi iwapasayo.
Kwani unafikiri serikali hailifahamu hilo? Tatizo utekelezaji wake utafumua mengi mabaya ambayo vigogo wananufaika navyo!
 
Mtanganyika ni nani? Nini viashiria vya uTanganyika?
 
Kwani unafikiri serikali hailifahamu hilo? Tatizo utekelezaji wake utafumua mengi mabaya ambayo vigogo wananufaika navyo!
Yafumuliwe na liwalo na liwe.
Hadi chombo kikuu cha ulinzi na usalama kuliweka wazi hadharani ujue usalama wetu unaanza kuwekwa rehani.
 
20240123_124836.png

Huyu mwamba nasikia......!
 
U
Sehemu walikowekwa jinsia Ile nchi nzima ni shida kuanzia wakurugenzi wa Halmashauri hadi mawaziri.
Hadi bibi yule

CDF kawaumbua sana. Ukiwaona unaweza kudhani wako serious kumbe hawana kazi za kufanya kabisa. Wanakula kodi za wananchi bure.

Suala la utoaji uraia lisimamishwe mara moja.
 
View attachment 2880164
General JJ Mkunda.

View attachment 2880166
Commissioner General Immigration Anna Makakala.

Jeshi la Wananchi Tanzania kupitia Mkuu wa Jeshi JWTZ, has again done us proud.

Mkuu wa Jeshi, CDF General Jacob John Mkunda amelezea tishio la usalama wa nchi kutoka angle ambayo kuna jeshi lingine lipo kwa ajili hiyo pekee, Jeshi la Uhamiaji.

Je ni kwamba Jeshi la Uhamiaji halijui tishio hilo la Ulinzi na Usalama kwa nchi, na kutoliweka hilo hadharani?

General Mkunda si tu amelezea kuwepo tatizo la wakimbizi wengi nchini waliokaa muda mrefu bila kurudishwa kwao, lakini kaweka wazi kuwa wamefanya utafiti kuwa kuna wakimbizi waliokaa nchini kwa muda mrefu kiasi kwamba watoto wao au wao wenyewe wameanza kupata vyeo vya kimaamuzi ndani ya serikali na taasisi za umma.

Tunamshukuru Gen JJ Mkunda kwa kuiona the bigger picture(Vision) ya kiusalama, vision mbayo Idara ya Immigration imeshindwa kuiona.

Hii natisha

Ulinzi ni pamoja na kuondoa threat ya the 5th Column, adui aliyepandikizwa from within.
Serikali isiposhughulikia hili kwa haraka itajilaumu yenyewe within 5 to 10 years.

Vile vile Jeshi la Uhamiaji lifumuliwe kwa kuota vitambi na kutofanya kazi iwapasayo.
Hawa watu wako kazini siku nyingi sana na ndiyo maana mambo mengi hayaendi. Miradi mingi mikubwa, mimkakati mingi ya tz haifanikiwi.
 
Ifanywe kampeni maalum kuwaondoa.
Wakati wa vita kuu ya pili, Marekani ilishambuliwa na Japan Pearl Hourbour.
Ingawaje hatua iliyochukua Marekani ilikuwa ya kishenzi, lakini ilowakusanya wajapani wote mijini na kuwaweka chini ua ulizi na kwenye kambi maalum.
Tusisubiri haya yatupate na sisi.
 
View attachment 2880164
General JJ Mkunda.

View attachment 2880166
Commissioner General Immigration Anna Makakala.

Jeshi la Wananchi Tanzania kupitia Mkuu wa Jeshi JWTZ, has again done us proud.

Mkuu wa Jeshi, CDF General Jacob John Mkunda amelezea tishio la usalama wa nchi kutoka angle ambayo kuna jeshi lingine lipo kwa ajili hiyo pekee, Jeshi la Uhamiaji.

Je ni kwamba Jeshi la Uhamiaji halijui tishio hilo la Ulinzi na Usalama kwa nchi, na kutoliweka hilo hadharani?

General Mkunda si tu amelezea kuwepo tatizo la wakimbizi wengi nchini waliokaa muda mrefu bila kurudishwa kwao, lakini kaweka wazi kuwa wamefanya utafiti kuwa kuna wakimbizi waliokaa nchini kwa muda mrefu kiasi kwamba watoto wao au wao wenyewe wameanza kupata vyeo vya kimaamuzi ndani ya serikali na taasisi za umma.

Tunamshukuru Gen JJ Mkunda kwa kuiona the bigger picture(Vision) ya kiusalama, vision mbayo Idara ya Immigration imeshindwa kuiona.

Hii natisha

Ulinzi ni pamoja na kuondoa threat ya the 5th Column, adui aliyepandikizwa from within.
Serikali isiposhughulikia hili kwa haraka itajilaumu yenyewe within 5 to 10 years.

Vile vile Jeshi la Uhamiaji lifumuliwe kwa kuota vitambi na kutofanya kazi iwapasayo.
Migration wao ni rushwa ., rushwa na ww
 
Back
Top Bottom