Ni ngumu sana kuzipata, mm nina broo wangu wamerudishwa mwezi uliopita alikuwa msata anapiga kozi ya jw wamerudishwa kama 150 kwamba ni unfit. broo wangu kaambiwa yeye syo raia wa tanzaniaHivi hizi nafasi bila kuwa mtoto wa kigogo au bila kutoa kitu kidogo inaonekana ni ngumu sana kuzipata
Nadhani Hilo jambo lake la Siri ni kuwa na mtoto....Nimesoma comments zoote na nimegundua wengi wametoa maoni kwa kuongozwa na huruma ya aina ya kilicho mkuta Aidama , lakini katika kufuatilia sana sakata hili tangu asubuhi nimefanikiwa kupata za ndaani kabisa na kosa nila Aidama kumuamini mtu flani na kumtonya jambo lake la siri ambapo yule mdada mwenzie akalivujisha.
Huu ni ubuyu nilio upata baada ya kudaka baadhi ya code na nikamuuliza mdau mmoja ambae ni mkufunzi wa chuo cha askari hao.
Imekuwaje sio raia mbona makubwa imagine mtu ka hustle miezi yote hyo lohNi ngumu sana kuzipata, mm nina broo wangu wamerudishwa mwezi uliopita alikuwa msata anapiga kozi ya jw wamerudishwa kama 150 kwamba ni unfit. broo wangu kaambiwa yeye syo raia wa tanzania
Nilisoma comments flani wakasema Kuna mtu alipeleka maneno huko loh, pole yake naskia ukienda huko inabidi uwe kimya ykijiropokea mambo flani na mchongo ulivokuwa unatolewaNimesoma comments zoote na nimegundua wengi wametoa maoni kwa kuongozwa na huruma ya aina ya kilicho mkuta Aidama , lakini katika kufuatilia sana sakata hili tangu asubuhi nimefanikiwa kupata za ndaani kabisa na kosa nila Aidama kumuamini mtu flani na kumtonya jambo lake la siri ambapo yule mdada mwenzie akalivujisha.
Huu ni ubuyu nilio upata baada ya kudaka baadhi ya code na nikamuuliza mdau mmoja ambae ni mkufunzi wa chuo cha askari hao.
Duh na hao ndio waliotoa Siri pole yake saa ingine hata kumtaja au kutoa Siri za aliyempa connectionNadhani Hilo jambo lake la Siri ni kuwa na mtoto....
Aidama Pole yako sana.Hukujua kama upo vitani? Kwenye kozi,kila mtu anapambania kumaliza kozi.Na hata hivyo mwanzo wa kozi tu Kuna Askari wakongwe nao hujifanya wanapiga kozi na nyie Huku wakiwa wapo kwenye Uchunguzi mzito wa mambo mengi ....
Nadhani haya ndio yaliyomtokea Kwa kutokana na Ushimen kama usemavyo......
Usikate tamaa ingia katika maombi ya kumshukuru Mungu katika yote uliyopitia muombe mungu sasa hitaji lako unalohitaji katika Maisha ya sasa usihofu kuna baraka ipo inakusubiliaNawasalim kwa jina la JMT, Naamin kila mmoja wetu ni mzima wa afya na kwa wenzetu ambao hawako sawa kiafya basi mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amin
Wakuu maisha yana mitihani mingi sana wakati mwingine inakatisha tamaa na moyo unashindwa kuendelea, mimi ni mwanachama wa muda mrefu wa huu mtandao wetu pendwa wa JF ila kwa jina tofauti na hili nimeona nitumie hii akaunti
Nitashukuru sana na Mungu awabariki.
Upo sahihi mkuu...Nilisoma comments flani wakasema Kuna mtu alipeleka maneno huko loh, pole yake naskia ukienda huko inabidi uwe kimya ykijiropokea mambo flani na mchongo ulivokuwa unatolewa
Nadhani Hilo jambo lake la Siri ni kuwa na mtoto....
Aidama Pole yako sana.Hukujua kama upo vitani? Kwenye kozi,kila mtu anapambania kumaliza kozi.Na hata hivyo mwanzo wa kozi tu Kuna Askari wakongwe nao hujifanya wanapiga kozi na nyie Huku wakiwa wapo kwenye Uchunguzi mzito wa mambo mengi ....
Nadhani haya ndio yaliyomtokea Kwa kutokana na Ushimen kama usemavyo......
Tatoo + umri + kuwa na mtoto + kushikwa mkono (nepotism) + cheti + ukicheche wa ushoga/usagaji (hamkupimwa?) + ubishororo/mambo ya kiswahili swahili + tabia mbofu mbofu (in masai voice) + afya (sababu uloyoisema) huenda ndio sababu ya kuondolewa kwako jeshini.Nawasalim kwa jina la JMT, Naamin kila mmoja wetu ni mzima wa afya na kwa wenzetu ambao hawako sawa kiafya basi mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amin
Wakuu maisha yana mitihani mingi sana wakati mwingine inakatisha tamaa na moyo unashindwa kuendelea, mimi ni
Fani niliyosoma inaitwa "Biotechnology and Laboratory Science' kupitia fani hii naweza kufanya kazi Hospitali kwenye upande wa Molecular diagnostic, naweza kufanya kazi kwenye Taasisi yoyote inayojihusisha na utafiti iwe upande wa magonjwa ya binadamu, tafiti za kilimo na mifugo, kwenye maabara za viwandani kama Laboratory Analyst, maabara za migodini pia kama Laboratory Techologist, kufundisha baadhi ya masomo katika vyuo vya kati vya kilimo na mifugo, pia ningekuwa na mtaji ningeweza kujiajiri kwa kufungua ofisi inayojishughulisha na utoaji wa ushauri wa jinsi ya kudesign maabara za kisasa, uuzaji wa kemikali za maabara, vifaa vya maabara, vifaa tiba na vya kujifunzia.
Asante nashukuru sana mkuuMmmmh ngumu kumeza lakini naamini Mungu atakuonyesha mlango mwingine wa kutokea.pole sana mkuu,
NB;hebu nin'gate sikio hio ID yako ya siku zote[emoji2]
Amen Amen nashukuru sana mkuuWewe utafanikiwa sana katika maisha, story yako ni vitu ambavyo uwatokea watu wengi waliofanikiwa unachotakiwa kufanya ni kuelewa na kuendelea na mapambano.
Kama unabisha komaa rudi hapa baada ya miaka mitatu utaniambia.