Jeshi la Uhamiaji wamenirudisha Nyumbani wakidai sipo Fiti. Nimepoteza dira ya maisha

Nimesoma comments zoote na nimegundua wengi wametoa maoni kwa kuongozwa na huruma ya aina ya kilicho mkuta Aidama , lakini katika kufuatilia sana sakata hili tangu asubuhi nimefanikiwa kupata za ndaani kabisa na kosa nila Aidama kumuamini mtu flani na kumtonya jambo lake la siri ambapo yule mdada mwenzie akalivujisha.
Huu ni ubuyu nilio upata baada ya kudaka baadhi ya code na nikamuuliza mdau mmoja ambae ni mkufunzi wa chuo cha askari hao.
 
Nadhani Hilo jambo lake la Siri ni kuwa na mtoto....
Aidama Pole yako sana.Hukujua kama upo vitani? Kwenye kozi,kila mtu anapambania kumaliza kozi.Na hata hivyo mwanzo wa kozi tu Kuna Askari wakongwe nao hujifanya wanapiga kozi na nyie Huku wakiwa wapo kwenye Uchunguzi mzito wa mambo mengi ....
Nadhani haya ndio yaliyomtokea Kwa kutokana na Ushimen kama usemavyo......
 
Bado bado mdogo wangu mimi nikipiga moshi chuo cha polisi week ya kwanza tu nikaondolewa sababu jina liliingizwa kimakosa idadi iliyotakiwa ilishatimia just imagine pekee yangu ila rafiki yangu ambae ni.jirani.yangu akatoboa nikaridi kitaa kuanza zero ila mwisho wa siku Tamisemi waka nizoa na kunitupa hulu halmashauri baada ya kupambana tena kwa miaka2 komaaaa
 
Nimesoma comments zoote na nimegundua wengi wametoa maoni kwa kuongozwa na huruma ya aina ya kilicho mkuta Aidama , lakini katika kufuatilia sana sakata hili tangu asubuhi nimefanikiwa kupata za ndaani kabisa na kosa nila Aidama kumuamini mtu flani na kumtonya jambo lake la siri ambapo yule mdada mwenzie akalivujisha.
Huu ni ubuyu nilio upata baada ya kudaka baadhi ya code na nikamuuliza mdau mmoja ambae ni mkufunzi wa chuo cha askari hao.
Nilisoma comments flani wakasema Kuna mtu alipeleka maneno huko loh, pole yake naskia ukienda huko inabidi uwe kimya ykijiropokea mambo flani na mchongo ulivokuwa unatolewa
 
Nadhani Hilo jambo lake la Siri ni kuwa na mtoto....
Aidama Pole yako sana.Hukujua kama upo vitani? Kwenye kozi,kila mtu anapambania kumaliza kozi.Na hata hivyo mwanzo wa kozi tu Kuna Askari wakongwe nao hujifanya wanapiga kozi na nyie Huku wakiwa wapo kwenye Uchunguzi mzito wa mambo mengi ....
Nadhani haya ndio yaliyomtokea Kwa kutokana na Ushimen kama usemavyo......
Duh na hao ndio waliotoa Siri pole yake saa ingine hata kumtaja au kutoa Siri za aliyempa connection
 
Nawasalim kwa jina la JMT, Naamin kila mmoja wetu ni mzima wa afya na kwa wenzetu ambao hawako sawa kiafya basi mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amin

Wakuu maisha yana mitihani mingi sana wakati mwingine inakatisha tamaa na moyo unashindwa kuendelea, mimi ni mwanachama wa muda mrefu wa huu mtandao wetu pendwa wa JF ila kwa jina tofauti na hili nimeona nitumie hii akaunti

Nitashukuru sana na Mungu awabariki.
Usikate tamaa ingia katika maombi ya kumshukuru Mungu katika yote uliyopitia muombe mungu sasa hitaji lako unalohitaji katika Maisha ya sasa usihofu kuna baraka ipo inakusubilia
 
Nilisoma comments flani wakasema Kuna mtu alipeleka maneno huko loh, pole yake naskia ukienda huko inabidi uwe kimya ykijiropokea mambo flani na mchongo ulivokuwa unatolewa
Upo sahihi mkuu...
Mwisho japo sio kwa umuhimu, basi tumfariji mdada kwa kilicho mtokea na pengine achukulie kama changamoto maana nina imani wengi tumepata funzo kupitia yeue. Hopefully Mungu atamfungulia mlango mwingine pengine ulio bora zaidi ya huko alipo kosa.

Pia tumepata funzo kwamba usimuamini mwanadam hasa mnae pigana kwenye vita ya aina moja.
Na wale walio kua wanamlaumu kwa kua zingo mama pia nafikiri anapaswa kuwasamehe kwani hawakujua kama huu haukua wakati wa mleta mada kutamani kujadili mambo ya baby dad na relationship ilikuaje wakaachana.
Nadhani Hilo jambo lake la Siri ni kuwa na mtoto....
Aidama Pole yako sana.Hukujua kama upo vitani? Kwenye kozi,kila mtu anapambania kumaliza kozi.Na hata hivyo mwanzo wa kozi tu Kuna Askari wakongwe nao hujifanya wanapiga kozi na nyie Huku wakiwa wapo kwenye Uchunguzi mzito wa mambo mengi ....
Nadhani haya ndio yaliyomtokea Kwa kutokana na Ushimen kama usemavyo......
 
Nawasalim kwa jina la JMT, Naamin kila mmoja wetu ni mzima wa afya na kwa wenzetu ambao hawako sawa kiafya basi mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amin

Wakuu maisha yana mitihani mingi sana wakati mwingine inakatisha tamaa na moyo unashindwa kuendelea, mimi ni
Tatoo + umri + kuwa na mtoto + kushikwa mkono (nepotism) + cheti + ukicheche wa ushoga/usagaji (hamkupimwa?) + ubishororo/mambo ya kiswahili swahili + tabia mbofu mbofu (in masai voice) + afya (sababu uloyoisema) huenda ndio sababu ya kuondolewa kwako jeshini.

Hata kwa wenzetu wapo makini sana kuchagua wanaojiunga na jeshi, ingawa kibongo bongo tunawaona wamepinda kimaadili.

Jeshi halitaki watu lelemama/mlenda mlenda.

Pole, ila usikate tamaa.

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
 
Fani niliyosoma inaitwa "Biotechnology and Laboratory Science' kupitia fani hii naweza kufanya kazi Hospitali kwenye upande wa Molecular diagnostic, naweza kufanya kazi kwenye Taasisi yoyote inayojihusisha na utafiti iwe upande wa magonjwa ya binadamu, tafiti za kilimo na mifugo, kwenye maabara za viwandani kama Laboratory Analyst, maabara za migodini pia kama Laboratory Techologist, kufundisha baadhi ya masomo katika vyuo vya kati vya kilimo na mifugo, pia ningekuwa na mtaji ningeweza kujiajiri kwa kufungua ofisi inayojishughulisha na utoaji wa ushauri wa jinsi ya kudesign maabara za kisasa, uuzaji wa kemikali za maabara, vifaa vya maabara, vifaa tiba na vya kujifunzia.

Mungu atakupigania dada
My prayers are with you[emoji1488]
 
Back
Top Bottom