Jeshi la Uhamiaji wamenirudisha Nyumbani wakidai sipo Fiti. Nimepoteza dira ya maisha

Jeshi la Uhamiaji wamenirudisha Nyumbani wakidai sipo Fiti. Nimepoteza dira ya maisha

Baba wa mtoto mlipotezeana.
Hapa kuna shida,mnamtesa na kumyumbisha huyo mtoto.
Jaribu kurudi nyuma,hata sisi vitani hufanya hivyo mashambulizi yakiwa makali mno.
Mtafte baba wa mtoto kiupole hata kama uliondoka kwa ugomvi we mtafte tuu. Amini nakwambia hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke msikivu na mpole.
 
Pole sana kwa changamoto hizo, Mungu amekuandalia mema zaidi ya huko ulikokuwa unaelekea, kumbua maisha huja kwa nyakati, Kuna nyakati za furaha na nyakati za huzuni...amini hilo litapita na nyakati za furaha na amani zitarejea
 
Amen Amen nashukuru sana mkuu
 
Mwanzon nilitaka kushusha lawama
Ila nilipomaliza kusoma ni kama nimesoma makaa ya mawe ten ya moto juu yako aisee

Pole sana sina la kusema zaidi ya kukwambia mungu ndie kila kitu
Mindhari hujafa basi bado unayo nafasi ya kujipambania upya
 
1. Tafuta vibarua tu sehemu yoyote ile hata vya matofali au zege.

2. Sali sana lakini

Ilaa ulikosea sana kuwa singo maza kwa miaka 6 huyo mtoto kakupukunyua sana anyway huwezi kurudi nyuma

N. B USIJIUZE NASIKIA BIASHARA YA MALAYA IMEKUWA NGUMU, WALA USIJIUE MAANA HUJUI UENDAKO BAADA YA HAPO

MTUMAINIE MUNGU [emoji22][emoji22]
Kweli hupend aman maan comment yako imenifanya nicheke wakat nina huzuni
 
Mwanzon nilitaka kushusha lawama
Ila nilipomaliza kusoma ni kama nimesoma makaa ya mawe ten ya moto juu yako aisee

Pole sana sina la kusema zaidi ya kukwambia mungu ndie kila kitu
Mindhari hujafa basi bado unayo nafasi ya kujipambania upya
Nashukuru sana mkuu
 
Back
Top Bottom