Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,223
- 1,992
Nashukuru sana kwa ushauri mkuu, samahani naomba kuelekezwa jinsi ya kuwafikia moderators na kuwaomba
ModeratorPole sana dada.
Huu uzi haukupaswa kuwa hili jukwaa la ajira, huku utaonwa na wachache sana na wachangiaji ni wachache pia huku, omba moderators wauhamishie jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.
Nashukuru sana mkuuPole sana [emoji120] Japo hii pole haitasaidia kitu chochote i promise nitarudi tena kwako katika huu uzi
Amen AmenMungu akufanyie wepesi kwa kila jambo.
Ndiyo naweza kutoa ushauri wa namna nzuri zaidi ya kuiboreshaHata maabara za shule unaweza kuzisuka vizuri?
Amen Amen nashukuru sana mkuuPole sana kwa changamoto hizo, Mungu amekuandalia mema zaidi ya huko ulikokuwa unaelekea, kumbua maisha huja kwa nyakati, Kuna nyakati za furaha na nyakati za huzuni...amini hilo litapita na nyakati za furaha na amani zitarejea
Kama unaweza ukaitengeneza pia ingekuwa poa sana. Kwa hiyo fani yako naona kuna namna ya kujikwamua kirahisi sana.Ndiyo naweza kutoa ushauri wa namna nzuri zaidi ya kuiboresha
Kweli hupend aman maan comment yako imenifanya nicheke wakat nina huzuni1. Tafuta vibarua tu sehemu yoyote ile hata vya matofali au zege.
2. Sali sana lakini
Ilaa ulikosea sana kuwa singo maza kwa miaka 6 huyo mtoto kakupukunyua sana anyway huwezi kurudi nyuma
N. B USIJIUZE NASIKIA BIASHARA YA MALAYA IMEKUWA NGUMU, WALA USIJIUE MAANA HUJUI UENDAKO BAADA YA HAPO
MTUMAINIE MUNGU [emoji22][emoji22]
Hata comment yake imekaa kishari hasa huo ushauri wa kubeba zege.Kweli hupend aman maan comment yako imenifanya nicheke wakat nina huzuni
Nashukuru sana mkuuMwanzon nilitaka kushusha lawama
Ila nilipomaliza kusoma ni kama nimesoma makaa ya mawe ten ya moto juu yako aisee
Pole sana sina la kusema zaidi ya kukwambia mungu ndie kila kitu
Mindhari hujafa basi bado unayo nafasi ya kujipambania upya
Amen nashukuru sana mkuuGod will help you
Just Go deeper in prayers I know it pain ,
Ushauri we can make charity tukuchangie. Mtaji so unaweza weka namba yako katika uzi wako .