Jeshi la Uhamiaji wamenirudisha Nyumbani wakidai sipo Fiti. Nimepoteza dira ya maisha

Pole nakuja kukushauri.
 
Pole ndugu,sema kuna mtu katoa comment moja ya kizembe sana.Kweli mwanamke akafanye kazi ya zege?.Tuweni na huruma hii mitihani humpata kila mtu.

Pole ndugu, Mungu atafanya wepesi kama wadau watakuwa na moyo wa kutoa basi kidogo chochote mtu asaidie, mimi pia naweza fanya hivyo.Kila la kheri sister.
 
Asante mkuu nashukuru sana
 
Pole sana ndugu, Nina imani utasimama tena. Usikate tamaa
 
Njoo inbox
 
pole sana, huu ni wakati wako wa kuwa karibu na Mungu kuliko mtu yoyote….Mungu ndio alianzisha safari yako..na Mungu anampa jaribu mtu anaeweza kulimudu,

Mungu amekuchagua wewe na yeye ndo atakuvusha…..sina connection ya kukupa ila mfanye Mungu awe connection yako…and don’t compare safari yako na ya wengine…wanaweza wakawa wametangulia lakini wasiwahi kufika…Mungu akutie nguvu na hilo pia litapita na the rest will be history.

Sending love and prayers to you sis 💕💕
 
Pole Sana kwa yaliokutokea dada huu ujinga wa uhamiaji aliwai kufanyiwa rfk wangu wa karibu Sana sakata lako limefanana kila kitu

Kwanza jamaa aliishaanza koz kbsa kipindi hcho ccp Moshi Hadi kupiga mazoez ya kutumia silaha ,

Ktkt ya zoezi wakaja kuchukuwa Tena sample za wanafunzi ikaja ikabainika kuwa dogo yule alikuwa anatumia madaya ya kulevya hvyo yeye na wenzio watano hawatakiwi kuwepo ktk eneo Hilo ,

Katik hayo yote dogo hakuwai hata kuguza Wala kutumia dawa zozote iwe bangi hajawai na hata kuzitambua dawa za kulevya hajui maskini ila madakta wa vipimo wakasema kuwa Ni mtumuaji wa madawa ya kulevya

Bas dogo pmj na kak ake na Bab ake wakachukua sample Hadi hospital ya regency na sample zingine kutumwa South Africa na majibu yote yalitoka kuwa hajawai kutumia dawa hzo ,

Kurudi uhamijaji kurudisha majibu akambiwa koz inakaribia kuisha na hvyo aombe kipind kingine duh ...

Kuchunguza hiyo kitu kumbe Kuna mtu aliwekwa faster kwenye hyo nafsi yake kimafya Zaid without being noticed

Kufatilia Zaid Alichogundua kuwa yule mtu waliompa pesa kumsadia azame uhamiaji zile pesa hajazifikisha kwa wakubwa jamaa alizila zote bila kushare na wakubw wa juu Zaid na Kisha kutumia njia anaxojuwa yey kumpenyeza jamaa katk jeshi Hilo kwa taratibu anazo zijuwa yeye


NNI KIFANYIKE
Nenda kuomba kuonana na wazir wa mambo ya ndani bwana masauni au katibu mkuu wa wizara hyo Ni mwalimu wangu wa chuo nilichosoma mm Ila sijui Kama kabadilishwa ,fanya hvyo walilie wale watu wakupe msaada na waangalie namna ya kupata haki zako mnk hapo umefanyiwa uhuni wa kipuuz Sana ,ile nafsi yako wamepenyezwa watot wa wakubwa

Au Kama upo vzr mtafute mwanasheria makini kawashataki kwa kukuzingiza magonjwa na kukuaribia maisha yako


Note yule rfk angu mpk leo mwaka wa Saba unaenda hajawai pata Kaz yoyote ile ya maana yupo tu Ni mzazi wake ana mpa backup
 
Uhamiaji Chini ya wizara ya mambo ya ndani mlichomfanyia huyu member wetu Aidama siyo Cha kiungwana kbsa.

iweje mtu haruusiwe kuanza kozi kbla hamjajiridhisha kuwa Yuko fit kiafya na utimamu kwa jumla kuliko Kuja kufanya test katikati ya mazoez ya kiendelea na kisha kuanza kuwa zingizia watu magonjwa ili wafukuzwe jeshini Kisha ninyi muweke watot wenu wasio kuwa na sifa Wala vigezo ??

Sakata lake limenikumbusha way back kipindi Cha nyuma jinsi mlivyo mzingizia ndugu yangu kuwa anatumia madawa ya kulevya Kisha mkamtoa ktktk ya mazoezi wakt dogo hajawai kutumia madawa ya kulevya wala kujuwa yako vip kimuonekano wake ila nyinyi mliweza kumsingizia dogo yule kuwa aliwai kutumia madawa na kupeleka kufukuzwa ktkt ya mazoezi ..hata sampuli zake tulipeleke south Africa kujiridhisha Kama dogo aliwai kutumia hayo makitu lkn majibu kote yalitoka kuwa hajawai Leo Tena mmerudia mambo Yale Yale binti wa watu anaenda kujinyonga kwa upuuz wenu

....

Leo Tena mmeibuka na hbr hzo hzo za kuwazingizia watu magonjwa ili muweke ndugu zenu ktk nafsi hzo Hilo Jambo ni baya ikiwa huyu dada /mwanamke huyu amesha uza biashara zake na kuwa tayari kufanya Kaz yenu na Kisha kutumikia JMT kwa mujibu wa Sheria leo hi ktk ya mozoezi mnamtimua bila kumpa kinacho msibu wakt mtu aliingia jeshi lenu akiwa na afya kamili na vipimo vilifanyika ktk hospital za serekali

Am [emoji817] Nina uhakika mnanzingizia huyu bint magonjwa tu Ile mishe yenu itimie kuweka watu wenu ninyi mliowapanga


Mam Samia naomba uliingilie Jambo hili alilofanyiwa mwanamke mwezako huyu nimechukizwa Sana kwa utapeli huu wa kiwango Cha lami
 
Asante nashukuru sana kwa ushauri na faraja mkuu, hicho kitu ni kweli kipo unakuta mtu anaondoka asubuhi jion anaingia mwingine hadi tukawa tunajiuliza hizi replacement mbona zinafanyika fasta sana ni kama wakureplace wameshaandaliwa na wanakuwepo around kusubiri gap....
Na kusema kutafuta mwanasheria hapana ningekuwa na hiyo pesa ningeifanya tuu mtaji maisha mengine yaendelee, maana naamin Mungu hajanipangia huko kama angekuwa amenipangia niajiriwe huko asingeruhusu nikutane na hiyo changamoto hivyo sitakiwi kulazimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…