Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo lao ni lipi hapo?Vita sasa inaingia kwenye sura mpya Ukraine anasonga mbele kujinyakulia maeneo ndani ya urusi, 1300km square kilometers
View attachment 3089367
Kuingoa Moscow na kupindua utawa wa President PutinLengo lao ni lipi hapo?
hata mie nashangaaasoma vizuri apo Jesho la urusi lenyewe wanaitelekeza miji yao na kutimua mbio, utagundua aliyekuwa anajitekenya
Bangi za asubuhi.News za kisiasa. Kule tumesoma Ukraine inapoteza maeneo iliyoyateka kusk huku tunaambiwa imeongeza maeneo tena Russian wamekumbia wenyewe.. tuchukue lipi tuache lipi
Way Ukraine walipoingia Kursk, Urusi hakuangaika nao kivilee.Akili wakaielekeza Kursk,wakasahau mji WA porkovsk,huo mji ni muhimu kwao Kwa usambaji Kwa njia ya reli na Barbara.Vita sasa inaingia kwenye sura mpya Ukraine anasonga mbele kujinyakulia maeneo ndani ya urusi, 1300km square kilometers.
Hatawaenda mbele watarudi nyuma kutoka 1km hadi 1000km hadi 1300km square, wataka kunambia Russia wao ardhi yao sio muhimu kwao kuchukuliwa lakini ni muhimu ya Ukraine, Ivi unafkiri Kursk putin amekuacha tu? Noo kapeleka majeshi kupambana kugomboa lakin ndio ivyo wanatelekeza na kutimua zao mbio, putin hana tena jeshi taaban nafsi yakeWay Ukraine walipoingia Kursk, Urusi hakuangaika nao kivilee.Akili wakaielekeza Kursk,wakasahau mji WA porkovsk,huo mji ni muhimu kwao Kwa usambaji Kwa njia ya reli na Barbara.
Urusi alichokifanya ni kuuwahi huo mji,wale waliopo Kursk hawataenda mbele Wala kurudi nyuma.
🎶🎶🎶
Urusi imepiga hatua kubwa katika siku za hivi karibuni ambayo inatishia kuzidi mafanikio yaliyopatikana na Ukraine katika shambulio lake la mpakani kwenye eneo la Kursk.
Vikosi vya Urusi viko kilomita chache tu kutoka mji wa Pokrovsk wa Ukraine, ambao ni muhimu sana kwaajili ya usafirishaji unaotumiwa na jeshi la Ukraine.
Pokrovsk ni mji wenye kituo muhimu cha usafiri wa reli na barabara kuu, na ni sehemu muhimu ya usambazaji na uimarishaji kwa wanajeshi wa Ukraine waliopo mstari wa mbele kwa upande wa Mashariki.
Wakosoaji ndani ya Kyiv wanahofia kuwa jeshi la nchi hiyo limefanya makosa makubwa.
Sasa mbona ukraine wameishia hapo hapo hawasongi mbele kama wanajeshi wanakimbia?Hatawaenda mbele watarudi nyuma kutoka 1km hadi 1000km hadi 1300km square, wataka kunambia Russia wao ardhi yao sio muhimu kwao kuchukuliwa lakini ni muhimu ya Ukraine, Ivi unafkiri Kursk putin amekuacha tu? Noo kapeleka majeshi kupambana kugomboa lakin ndio ivyo wanatelekeza na kutimua zao mbio, putin hana tena jeshi taaban nafsi yake
Aliingia mkataba na North Korea ili akivamiwa Urusi North Korea amsaidie lakini angalia kiduku alivyouchomoa, kaubana kimya hajampeleka mtu wake yeyote, putin anakufa peke yake alidhani vita ukraine ni kisahani cha chai, mwaka 3 unamaliza
Ivi unajua eneo la kilometers 1300 square ukubwa wake?Sasa mbona ukraine wameishia hapo hapo hawasongi mbele kama wanajeshi wanakimbia?
Nani kakwambia mataifa 30, Urusi anapiga na Ukraine tu, Putin alisema kama NATO wataingia ataanzisha vita ya nuclear.Unaposema urusi anapigana na ukraine inaonekana uko empty sana kwenye geopolitics.
Wanaopigana ni Urusi na mataifa 30 ya NATO. Sasa jiulize Urusi anauwezo kiasi gani kupambana na mataifa 30 at once?
Dah zeleboy bhana kichekesho sana 😆😆Vita sasa inaingia kwenye sura mpya Ukraine anasonga mbele kujinyakulia maeneo ndani ya urusi, 1300km square kilometers
View attachment 3089367
Tumia akiliHivi hizo km za mraba 1300 si ni mapana na marefu ya km 36 kwa km 36, mbona ni eneo dogo Sana
Zipo nizitumie? Kama nimekosea hapo elekeza vzr weweTumia akili