Jeshi la Ukraine lasonga mbele kunyakua ardhi ya Urusi Kursk region

1300 square km =kilometres 36 kila upande
 
Waacheni wakajifie mbele kwa mbele.

Hivi mnafikiri hilo eneo wanaweza kuli secure kwa muda gani? Hivi mnaelewa jinsi wanavyozidi kuteka maeneo ndivyo jinsi inabidi waache askari wengi kwa ajili ya ku secure maeneo waliyochukua huku wengine wakisonga mbele zaidi?

Au mnafikiri wakichukua eneo wamechukua.

Je? Logistics zipo? Njia za kuingiza askari, silaha , chakuka na matibabu zipo?

Hao askari wa Kursk wameingia kwenye mtego wenyewe, watazunguka hapo weeee, mwishowe watachukuluwa mateka wengine kumalizwa, ni suala la muda tu.
Wewe na askari aliepo uwanja wa mapambano nani anayajua hayo uliyoyaeleza zaidi? Yaani wewe unayajua vizuri kuliko wale maJenerali wa Ukraine.
 
Ivi unajua eneo la kilometers 1300 square ukubwa wake?

Nani kakwambia mataifa 30, Urusi anapiga na Ukraine tu, Putin alisema kama NATO wataingia ataanzisha vita ya nuclear.

Ivi mataifa 30 unayajuwa au unaongea pumba tu, kama hayo mataifa 30 yapo vitani na Urusi si lingeshabaki vumbi tu kule urusi
Unaonekana we jamaa mweupee mweupee.
Kuna mercenaries kibao wanaoletwa ambao sio mercenaries bali ni wanajeshi wa magharibi.
Pia ni Yes Putin anapigana na mataifa 30 kwasababu Ukraine anapatiwa usaidizi wa silaha na kifedha toka NATO.
Usisahau NATO na EU walimuwekea hadi vikwazo vya kiuchumi Russia ili asiweze kuwa na uchumi wa kupigana hiyo vita.

Na mind you Ukraine hatofika popote kwasababu Russia imeuzingira mji muhimu ambao ndio wa kusambazia vifaa na jeshi kwa Ukraine.
Kama sijakosea unaitwa Sumy.
Ukraine ataganda hapo hapo Kursk hakuna atakaposogea.
Na Porkovsk ikishatwaliwa ni anguko kubwa la jeshi la Ukraine.
 
Lengo lao ni lipi hapo?
Lengo lao wafikie kinu cha nuclear kilichopo Kursk na wakidhibiti kama leverage ikitokea kuna makubaliano ya amani baina yao na Russia.
Ila bahati mbaya sasa nuclear plant pale wamepazingira panalindwa,Ukraine atacheza koote ila kile kinu hakifikii ng'ooo.
 
Hali halisi hii hapa huko.
Hii ya juzi.
Screenshot_2024-09-08-15-00-45-59_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-08-15-01-21-88_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-08-15-01-35-18_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-08-15-00-45-59_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-08-15-01-21-88_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-08-15-01-35-18_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Unaonekana we jamaa mweupee mweupee.
Kuna mercenaries kibao wanaoletwa ambao sio mercenaries bali ni wanajeshi wa magharibi.
Pia ni Yes Putin anapigana na mataifa 30 kwasababu Ukraine anapatiwa usaidizi wa silaha na kifedha toka NATO.
Usisahau NATO na EU walimuwekea hadi vikwazo vya kiuchumi Russia ili asiweze kuwa na uchumi wa kupigana hiyo vita.

Na mind you Ukraine hatofika popote kwasababu Russia imeuzingira mji muhimu ambao ndio wa kusambazia vifaa na jeshi kwa Ukraine.
Kama sijakosea unaitwa Sumy.
Ukraine ataganda hapo hapo Kursk hakuna atakaposogea.
Na Porkovsk ikishatwaliwa ni anguko kubwa la jeshi la Ukraine.
Ukraine kama demu alie ingia ghetto la mchizi alie kula vumbi la mkongo dozen nzima.. anatokaje hapo
 
Sumy ambapo Ukraien ndio anategemea kupitisha msaada kuingia Kursk kumewekewa zuizi.
Ukitia pua tu guided munitions zinakushukia.
Sasa huyo mleta mada atujuze Ukraine itasongaje mbele na kufanikishaje lengo lake!??
 
Ukraine ni mfa maji.. Aisee mtaalamu Leo nilikuwa itigi, badae tabora
 
Waacheni wakajifie mbele kwa mbele.

Hivi mnafikiri hilo eneo wanaweza kuli secure kwa muda gani? Hivi mnaelewa jinsi wanavyozidi kuteka maeneo ndivyo jinsi inabidi waache askari wengi kwa ajili ya ku secure maeneo waliyochukua huku wengine wakisonga mbele zaidi?

Au mnafikiri wakichukua eneo wamechukua.

Je? Logistics zipo? Njia za kuingiza askari, silaha , chakuka na matibabu zipo?

Hao askari wa Kursk wameingia kwenye mtego wenyewe, watazunguka hapo weeee, mwishowe watachukuluwa mateka wengine kumalizwa, ni suala la muda tu.
Huyu muNATO wa bongo. Hii taarifa ni ya zaidi ya wiki tatu sasa. Bado wanaadvance 1,300 tu! Means hawasongi mbele sasa! Ya watu waachieni wenyewe.
 
Back
Top Bottom