Jeshi la Ukraine lasonga mbele kunyakua ardhi ya Urusi Kursk region

1300 square km =kilometres 36 kila upande
 
Wewe na askari aliepo uwanja wa mapambano nani anayajua hayo uliyoyaeleza zaidi? Yaani wewe unayajua vizuri kuliko wale maJenerali wa Ukraine.
 
Unaonekana we jamaa mweupee mweupee.
Kuna mercenaries kibao wanaoletwa ambao sio mercenaries bali ni wanajeshi wa magharibi.
Pia ni Yes Putin anapigana na mataifa 30 kwasababu Ukraine anapatiwa usaidizi wa silaha na kifedha toka NATO.
Usisahau NATO na EU walimuwekea hadi vikwazo vya kiuchumi Russia ili asiweze kuwa na uchumi wa kupigana hiyo vita.

Na mind you Ukraine hatofika popote kwasababu Russia imeuzingira mji muhimu ambao ndio wa kusambazia vifaa na jeshi kwa Ukraine.
Kama sijakosea unaitwa Sumy.
Ukraine ataganda hapo hapo Kursk hakuna atakaposogea.
Na Porkovsk ikishatwaliwa ni anguko kubwa la jeshi la Ukraine.
 
Lengo lao ni lipi hapo?
Lengo lao wafikie kinu cha nuclear kilichopo Kursk na wakidhibiti kama leverage ikitokea kuna makubaliano ya amani baina yao na Russia.
Ila bahati mbaya sasa nuclear plant pale wamepazingira panalindwa,Ukraine atacheza koote ila kile kinu hakifikii ng'ooo.
 
Ukraine kama demu alie ingia ghetto la mchizi alie kula vumbi la mkongo dozen nzima.. anatokaje hapo
 
Ukraine kama demu alie ingia ghetto la mchizi alie kula vumbi la mkongo dozen nzima.. anatokaje hapo
Sumy ambapo Ukraien ndio anategemea kupitisha msaada kuingia Kursk kumewekewa zuizi.
Ukitia pua tu guided munitions zinakushukia.
Sasa huyo mleta mada atujuze Ukraine itasongaje mbele na kufanikishaje lengo lake!??
 
Sumy ambapo Ukraien ndio anategemea kupitisha msaada kuingia Kursk kumewekewa zuizi.
Ukitia pua tu guided munitions zinakushukia.
Sasa huyo mleta mada atujuze Ukraine itasongaje mbele na kufanikishaje lengo lake!??
Ukraine ni mfa maji.. Aisee mtaalamu Leo nilikuwa itigi, badae tabora
 
Huyu muNATO wa bongo. Hii taarifa ni ya zaidi ya wiki tatu sasa. Bado wanaadvance 1,300 tu! Means hawasongi mbele sasa! Ya watu waachieni wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…