Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Waandishi wa habari wa CNN NA SKynews wamevuliwa wadhifa kwa kuripoti kutokea mji wa Kherson unaotajwa kukombolewa na Ukraine. Ukiacha waandishi hao mashirika mengi mengine ya Ukraine na nchi za nje yamewakemea waandishi wao kwa kosa hilo hilo.
Kisingizio kilichotolewa na mashirika hayo ni kuripoti kutoka eneo ambalo si salama. Jee kuna kitu zaidi walikiona na kuripoti ambacho hakikuplendelewa kujulikana?
Hii si mara ya mwanzo kwa waandishi kuripoti kama hivyo. Kherson kuna nini?