Kwanini suala la usalama wa waandishi unaita kisingizio ?Kisingizio kilichotolewa na mashirika hayo ni kuripoti kutoka eneo ambalo si salama. Jee kuna kitu zaidi walikiona na kuripoti ambacho hakikuplendelewa kujulikana?
Ukraine inatoa taarifa za propaganda hakuna mkoa hata mmoja ambao jesh lake limeukomboa.Waandishi wa habari wa CNN NA SKynews wamevuliwa wadhifa kwa kuripoti kutokea mji wa Kherson unaotajwa kukombolewa na Ukraine. Ukiacha waandishi hao mashirika mengi mengine ya Ukraine na nchi za nje yamewakemea waandishi wao kwa kosa hilo hilo.
Kisingizio kilichotolewa na mashirika hayo ni kuripoti kutoka eneo ambalo si salama. Jee kuna kitu zaidi walikiona na kuripoti ambacho hakikuplendelewa kujulikana?
Hii si mara ya mwanzo kwa waandishi kuripoti kama hivyo. Kherson kuna nini?
View attachment 2416068
wachinjwe tu walikaribishwa vzr enz za usoviet leo hii wanatumika na serikali yao iliyowatelekeza baada ya mvunjiko wa USSRWahuni watakua wanawachinja raia wenye asili ya Russia
Hii ya propaganda ndio naitilia shaka zaidi. Kwa bahati hicho kipindi cha CNN sikuwahi kukiona.Yawezekana walipofika waliona vitu tofauti na matangazo ya Zelensky. Ilitokea mara ya mwanzo hapo hapo Kherson na daraja la kuvukia upande wa pili wa mto. Alipofika mwandishi akasema hajaona tofauti yoyote.Ukraine inatoa taarifa za propaganda hakuna mkoa hata mmoja ambao jesh lake limeukomboa.
Ila leo Zelensky ameomba maongezi ya aman na Rais Putin chazo dw swahili
Wanajeshi Frontline nao wanaingia online?Hii ya propaganda ndio naitilia shaka zaidi. Kwa bahati hicho kipindi cha CNN sikuwahi kukiona.Yawezekana walipofika waliona vitu tofauti na matangazo ya Zelensky. Ilitokea mara ya mwanzo hapo hapo Kherson na daraja la kuvukia upande wa pili wa mto. Alipofika mwandishi akasema hajaona tofauti yoyote.
Kwa ujumla katika hii vita propaganda za Ukraine zinazosaidiwa na mataifa mengi ya Ulaya zimesaidia kuwavunja nguvu askari wa Urusi. Kila wakiamka wanasoma kwenye vyombo vya habari wenzao 1000 na magari kadhaa wamefutwa..... (ndilo neno wanalotumia)
Nguvu ya Urusi ni kubwa lakini kwenye propaganda hawana vyombo vya kuwatetea.
Super power Mrusi anakosaje vyombo vya habari vya kumtetea ?Hii ya propaganda ndio naitilia shaka zaidi. Kwa bahati hicho kipindi cha CNN sikuwahi kukiona.Yawezekana walipofika waliona vitu tofauti na matangazo ya Zelensky. Ilitokea mara ya mwanzo hapo hapo Kherson na daraja la kuvukia upande wa pili wa mto. Alipofika mwandishi akasema hajaona tofauti yoyote.
Kwa ujumla katika hii vita propaganda za Ukraine zinazosaidiwa na mataifa mengi ya Ulaya zimesaidia kuwavunja nguvu askari wa Urusi. Kila wakiamka wanasoma kwenye vyombo vya habari wenzao 1000 na magari kadhaa wamefutwa..... (ndilo neno wanalotumia)
Nguvu ya Urusi ni kubwa lakini kwenye propaganda hawana vyombo vya kuwatetea.
Ukweli ni kuwa Urusi ni taifa kubwa lakini si katili kama Marekani.Huwa wanafika pahala wanaingiwa na huruma kwa adui yao.Marekani anaweza kutafuta hata sababu za uwongo amuangamize adui yake.Super power Mrusi anakosaje vyombo vya habari vya kumtetea ?
Unakuwaje super power unayetegemea media za hasimu wako zikutetee ?
Unaaliki yaa kijinga sana mbwiga wewewachinjwe tu walikaribishwa vzr enz za usoviet leo hii wanatumika na serikali yao iliyowatelekeza baada ya mvunjiko wa USSR
Wewe jamaa ni wa ajabu sana, yaani taifa ambalo limevamia taifa lingine na kufanya uharibifu na mauaji makubwa ya watu wasio na hatia unasema ni taifa la watu wasio katili.Ukweli ni kuwa Urusi ni taifa kubwa lakini si katili kama Marekani.Huwa wanafika pahala wanaingiwa na huruma kwa adui yao.Marekani anaweza kutafuta hata sababu za uwongo amuangamize adui yake.
Kama si huiruma ni nini.Marekani anatuma HIMARS kila leo tena kwa matangazo na unaona zinaua askari wako halafu unashindwa kumrushia naye kombora likamuumiza. Au unajua chombo pekee cha mawasillano baina ya askari wa Ukraine na baina yao na raisi Zelensky ni satelite ya Ellon Musk halafu unaiwacha izidi kukuletea madhara.Wewe jamaa ni wa ajabu sana, yaani taifa ambalo limevamia taifa lingine na kufanya uharibifu na mauaji makubwa ya watu wasio na hatia unasema ni taifa la watu wasio katili.
Nini maana ya ukatili kwenye kamusi yako ?
Japo hujajibu chochote kuhusu hilo taifa lenu kubwa kukosa media ya kuitumia kujitetea.
Zile Kamikaze za Iran anazotumia Mrusi ni toys za kuwafurahisha ukrainians au siyo ?Kama si huiruma ni nini.Marekani anatuma HIMARS kila leo tena kwa matangazo na unaona zinaua askari wako halafu unashindwa kumrushia naye kombora likamuumiza. Au unajua chombo pekee cha mawasillano baina ya askari wa Ukraine na baina yao na raisi Zelensky ni satelite ya Ellon Musk halafu unaiwacha izidi kukuletea madhara.
kwa ukubwa wa ARDHI sitopingana na WeWeUkweli ni kuwa Urusi ni taifa kubwa lakini si katili kama Marekani.Huwa wanafika pahala wanaingiwa na huruma kwa adui yao.Marekani anaweza kutafuta hata sababu za uwongo amuangamize adui yake.