Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Katika hotuba yake ya usiku wa kuamkila leo raisi Zelensky amesema jeshi lake liko kwenye mapambano makali karibu na njia za kuelekea Sloviansk na Kramatosk eneo la Bakhmut, ambalo ni jimbo la viwanda la Donbas.
Kabla ya tangazo hilo hapo juzi askari hao wa Zelensky walikuwa wakilalamika kukosa mawasiliano ya uhakika kutoka kwenye satelite ya Ellon Musk. iitwayo starlink.
Hali hii imemfanya raisi huyo aombe misaada ya haraka ya silaha nzito kutoka nchi za Ulaya na Marekani.