Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kwamba usipo yajadili maisha yatapungua auShabikia vita mitandaoni, katika uhalisi mitaani kila kitu bei zake zinaelekea juu, uvamizi wa Russia to Ukraine [emoji1255] unatuletea shida sisi kuliko Ukraine na uzuzu uliopo kwa Middle class wa kitanzania hawatambui hili, panua wigo na angalia na kusoma kama social networks za nchi zingine hasa hapa Africa kama vijana wao wanajadili hii vita, wengi wao wanajadili maisha yao na jinsi ya kuyafanya yawe bora zaidi
RUSSIA aachwe apige kazi
Sent using Jamii Forums mobile app