Wakati wa Ukraine wanazidi kuuliwa maeneo waliyoingia kwenye hayo majimbo yaliyojitenga.Nilidhani wamekimbia, kumbe wapo wanakinukisha
Wakati wa Ukraine wanazidi kuuliwa maeneo waliyoingia kwenye hayo majimbo yaliyojitenga.
Mrusi karudi nyuma wa Ukraine wanaingia tu pasipo kujiuliza. Siku 3 Mrusi hajapigana kawaacha wameingia mpanga ndani kabisa.
Baada ya hapo Mrusi aka jam satellite ya starlink Ukraine walikuwa ndiyo wanaitegemea. Kinachofuata ni kipi? Matokeo yake ndiyo hayo Ukraine analalamika anapigana kama wapo gizani. Wanauliwa tu!
Vita ni mbinu!
Hii kitu ina miezi ya kutosha. Kama ni vita kama ulivyoiita wewe anayestahili pongezi zaidi ni yule anayeonekana dhaifu.Wakati wa Ukraine wanazidi kuuliwa maeneo waliyoingia kwenye hayo majimbo yaliyojitenga...
Ila Elon bwana yupo kama chizi fulani hivi😁.
Unajua kwa nini huwa sijibu comment za watu wengine?Hii kitu ina miezi ya kutosha. Kama ni vita kama ulivyoiita wewe anayestahili pongezi zaidi ni yule anayeonekana dhaifu.
Jamaa baada ya kuambiwa zitadunguliwa satellite zake zote na S 500 abadili gia na kushauri peace talksIla Elon bwana yupo kama chizi fulani hivi😁.
Hii naikumbuka.Ellon Musk katika hii vita ni kama Erdogan. Aliwahi kuwashauri waukraine watafute suluhu na iko siku pia aliwatahadharisha kuwa wasiyaaamini sana mawasiliano ya satelite zake kwani warusi anaweza akawaona walipo,kwa maana wakipatwa na balaa wasijemuangishia lawama.Jamaa baada ya kuambiwa zitadunguliwa satellite zake zote na S 500 abadili gia na kushauri peace talks
Katika hotuba yake ya usiku wa kuamkila leo raisi Zelensky amesema jeshi lake liko kwenye mapambano makali karibu na njia za kuelekea Sloviansk na Kramatosk eneo la Bakhmut, ambalo ni jimbo la viwanda la Donbas.
Kabla ya tangazo hilo hapo juzi askari hao wa Zelensky walikuwa wakilalamika kukosa mawasiliano ya uhakika kutoka kwenye satelite ya Ellon Musk. iitwayo starlink.
Hali hii imemfanya raisi huyo aombe misaada ya haraka ya silaha nzito kutoka nchi za Ulaya na Marekani.
View attachment 2381204
Jamaa kawaambia Taiwan mapema kabisa kuwa wafanye mazungumzo ya amani na China mainland ili waweze kuungana kwa njia ya amani.Jamaa baada ya kuambiwa zitadunguliwa satellite zake zote na S 500 abadili gia na kushauri peace talks