Jeshi la USA na bomu la usenge

Jeshi la USA na bomu la usenge

Status
Not open for further replies.

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,655
Reaction score
2,506
Mwaka 1994 kituo cha utafiti cha Wright lab ambacho kiko chini ya jeshi la anga la Marekani kiliomba dola milioni 7.5 kufanya utafiti wa kutengeneza bomu la usenge!

Ambalo lingewafanya wanajeshi waanze kupendana na kuleta mtafaruku ndani ya majeshi ya upinzani.

Hata hivyo ombi hilo lilikataliwa.

The U.S. Military's Proposed "Gay" Bomb
 
ImageUploadedByJamiiForums1381528968.608095.jpg
 
Sasa hali hii wao hawajalipuliwa na hilo bomu Ndoa za kileberali zimejaa America! Je wakilipuliwa? Si ndio kila siku utaskia rusha roho ndani ya Time squre New York!
Teh teh teh teh teh!
 
kichwa cha habari kimenishtua sana. kumbe unazungumzia ukameruni /uliberal
 
Itakuwa lilishatengenezwa wakalijaribu Kambini kwao wakanogewa wakahisi uchoyo kutupa kwa majesh ya Adui!
 
Sasa hali hii wao hawajalipuliwa na hilo bomu Ndoa za kileberali zimejaa America! Je wakilipuliwa? Si ndio kila siku utaskia rusha roho ndani ya Time squre New York!
Teh teh teh teh teh!

Hawa watakuwa nalo tu na lishawahi kuwalipukia that's why DADT ilikwenda na maji!
 
Tusianze kumbeza mtoa mada hadithi yenyewe iko hivi;

Kwakuwa wanaoenda vitani ni wanaume pekee mahala pengi duniani, hawa jamaa walibuni mbinu hii chafu ya kuweza kuwasababishia wapinzani waathirike na bomu hilo kwa kuamsha vichocheo vya kufanya ulawiti ili wao waweze kuwashambulia na kushinda vita.

Inasemekana kwamba mtu hata akiwa na mke wa mtu ikiwa mwenye mke akimfumania akili ya mfumaniwa huwa ni "kwanini asisubiri nimalize?" Sasa kama imetokea hali hiyo kwa mtindo wa bomu maana yake dozi ya kutaka kufanyiana sodomization ni kubwa yenye mtafaruku mkubwa sana ambao tungeuita ni kama JANGA fulani. Hata hivyo ombi hilo lilikataliwa kwa misingi kwamba lingeleta maangamizi makubwa sana hata nje ya eneo la vita.
 
Hizi sio siri nyeti alipokamata Edward Snowden ? Marekani wataumbuka haki kieleweke
 
duh! hilo bomu halifai.
Bora watengeneze bomu la usingizi
 
Nadhani hili bomu liliwalipukia wenyewe wamerekani! No wonder u-gay umeenea mpaka madhabahuni kwao!
 
Tusianze kumbeza mtoa mada hadithi yenyewe iko hivi;

Kwakuwa wanaoenda vitani ni wanaume pekee mahala pengi duniani, hawa jamaa walibuni mbinu hii chafu ya kuweza kuwasababishia wapinzani waathirike na bomu hilo kwa kuamsha vichocheo vya kufanya ulawiti ili wao waweze kuwashambulia na kushinda vita.

Inasemekana kwamba mtu hata akiwa na mke wa mtu ikiwa mwenye mke akimfumania akili ya mfumaniwa huwa ni "kwanini asisubiri nimalize?" Sasa kama imetokea hali hiyo kwa mtindo wa bomu maana yake dozi ya kutaka kufanyiana sodomization ni kubwa yenye mtafaruku mkubwa sana ambao tungeuita ni kama JANGA fulani. Hata hivyo ombi hilo lilikataliwa kwa misingi kwamba lingeleta maangamizi makubwa sana hata nje ya eneo la vita.

Nijuavyo mimi marekani, wanaweza kutumia akili hiyo hata kwa namna yoyote ile.
ukiangaangalia ustaarabu wao kwa sasa. ni sawa na kutupa ilo bomu kupitia CNN au taasisi na vyanzo vingne vya habari.
 
Niliweka tangazo kuwa nauza vitu vya ndani kwakuwa nasafiri tarehe za safari nijumanne ya wili hii so time imefika mwenye kuhitaji nikama ifuatavyo na bei hii ndi yakuuzia nataka mtu wa sireous awe na 400000/=tu
-kitanda cha 5/6na godoro lake
-sofa ya watu wawili
-vyombo
-fan
-pasi
-buffer
-radio
-meza
-mapazia
nataka mtu anayechukua vyote siuzi kwa kimojakimoja vitanichelewesha ukitaka uchukua na chumba maana yake ni nabeba nguo zangu tu naacha kila kitu chumba kiko na hali nzuti kina singboard nazingira mazuri maji yapo chumba kwa mwezi 35000+umeme15000 maji unalipa pale utakapo chota bei ya ndoo ndogo100/=kubwa150/=

NIPO MABIBO GEREJI-MANDELA ROAD 0659496544
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom