Jeshi la Wanamaji la Marekani limekimbia Bahari Nyekundu Licha ya Mashambulizi ya Houthi

Mi nadhani huu ndo ulikuwa wakati muafaka kwa Palestina kupata ardhi yake ni basi tu mataifa ya middle east hayajasanuka tu. Saizi marekani upepo umekata mkimu overload na migogoro mingi lazima atashindwa kumlinda Israel na atamuamuru kuanza mazungumzo ya amani na Palestina. Hivi leo nchi za middle zikiamua serious kuwage proxy war kupitia vikundi kama Hamas, Houthi na Hizbollah vikawa na uhakika wa supply ya kutosha ya makombora, na siraha zingine, Israel ataendelea kuwa na kiburi?
 
Yemen siyo Gaza unauwa watoto na nakushambulia makazi ya watu, Hamas wana makambora ya kienyeji tu lakini angalia mabasha zako wanavyokufa Yemen wana kila kitu Marekani siyo mjinga kukimbia wewe Muisrael mweusi shabiki mandazi hauna unalojua .
Haya kwani mnakawia kulia free palestine humu ngoja tu tuwaonye kwa mara nyingne
 
Itapigwa nuke moja pale tehran
 
Sku hayo macarrier yakizamishwa hata moja ndo itakuwa mwisho wa majigambo ..maana amna mtu atakayeogopa tena marekani ..ndo kitu anakilinda sana asijekupa aibu
Macarrier yana makombora 90 ya kuyalinda, ukirusha makombora 100 chance ipo kuwa moja litaipiga!.
Hayo ni madude ya zamani sana yanatishia nchi zisizojiweza, lakini akiyadeploy dhidi ya china au russia au hata India yanapigwa asubuhi na mapema tu!.

Nguvu kubwa ya maana iliyobaki ya Marekani ni air power na nukes zake. Kwenye airpower mmarekani anakuchakaza kwelikweli
 
Shida hao waarabu wakufanya hivyo wakuwapi mzeee
Waarabu wote ni pro west umeona Bahrain alijiunga kabisa na muungano wa houthi ambao unapambania maslahi ya wapalestine
Waarabu wa hivyo hawapo ndugu yangu tena hawapo
 
Kabisa United Shits Of Americant huko juu anakutwanga haswa
Ila huko juu daima hua hakukupi ushindi lazma uje chini
Na ukija huko chini sasa unakutana na anayokutana nayo leo israhell pale ukanda wa ghaza
 
Houthi wanasema wana hamu ya kukabiliana na jeshi la wanamaji wa united Shits Of Americant huko bahari nyekundu yaani wanamtamani
United Shits Of Americant kastuka kama anaenda kupotezwa
Hivi kweli huyo USA akiamua kabisa kupambana kwa nguvu zote hao houthi wana uwezo wa kumhimili usa bingwa wa fitina na kuachia wenzake matatizo
 
Moja ya changamoto kubwa ni kwamba watu hawajui Marekani. Ule ni Muunganiko wa nchi 51 zenye uchumi mkubwa kuliko nchi yoyote Africa. Marekani hatishwi na nchi yoyote duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…