Jeshi la Wanamaji la Marekani limekimbia Bahari Nyekundu Licha ya Mashambulizi ya Houthi

Mkuu makombora ya kisasa yanazamisha hizo meli dk tu. Kumbuka Meli kubwa ya urusi ilizamishwa na makombora ya Eukrain.
Vita za sasa hivi zimeonesha mateknolojia na mavifaa ya kisa mda mwingine ni bure.
Vita ni mbinu nyingi sio mimeli na midege ambayo inaweza shushwa mda wowote.
 
Moja ya changamoto kubwa ni kwamba watu hawajui Marekani. Ule ni Muunganiko wa nchi 51 zenye uchumi mkubwa kuliko nchi yoyote Africa. Marekani hatishwi na nchi yoyote duniani
Uchumi sio hoja, kwamba Marekani anaweza kupigana na dunia nzima na akashinda bila kukimbilia nuclear?
 
Acha kumfananisha mzee wangu na watoto kama wewe
Ila kama umevuka miaka 40 niwie radhi
Kama bado utaendelea kua dogo mpaka kiama yaani 😎
We unaita watu humu mdogo wangu wakati sisi ni Baba zako we bwege kweli
 
Mkuu makombora ya kisasa yanazamisha hizo meli dk tu. Kumbuka Meli kubwa ya urusi ilizamishwa na makombora ya Eukrain.
Vita za sasa hivi zimeonesha mateknolojia na mavifaa ya kisa mda mwingine ni bure.
Vita ni mbinu nyingi sio mimeli na midege ambayo inaweza shushwa mda wowote.
Hiyo ilikua meli ya Urusi sio Marekani. Marekani karibu kila siku anatungua ant ship ballistic missiles za Houthi pale Red Sea.

U.S. assets, to include the USS LABOON (DDG 58) and F/A-18 Super Hornets from the Eisenhower Carrier Strike Group, shot down twelve one-way attack drones, three anti-ship ballistic missiles, and two land attack cruise missiles in the Southern Red Sea that were fired by the Houthis over a 10 hour period which began at approximately 6:30 a.m. (Sanaa time) on December 26. There was no damage to ships in the area or reported injuries.

View: https://twitter.com/CENTCOM/status/1739746985652158755?t=HNzJeGpL0PDImHOs70o6bA&s=19
 
Kila siku ya lini kwani tokea houthi aanze kuteka meli pale mpaka sasa ni miaka mingapi?
 
Uongo tu......Leo boti tatu za houth zimelipuliwa .........muungano upo na watatandikwa vibaya
 
Wazungu wenyewe ndio wansosema sasa wewe nani wa kubisha ? Tembelea media za nje. Mnapenda kubisha kila kitu
Kwani wazungu ndio nani mzee si hao hao walisema iraq kuna WMD na wakamuua sadam vipi hizo WMD zilionekanika
Na mimi sio nani wakubisha nimeuliza swali ambalo lipo wazi kabisa kwani us ndio aloivamia israhell
Wazungu waongo tu nawao kama watu wengine
 
Uongo tu......Leo boti tatu za houth zimelipuliwa .........muungano upo na watatandikwa vibaya
Upo wapi
Zilizopo ni meli za United Shits Of Americant ambazo zipo tokea zamani kabla ya hii ishu
Hakuna meli za muungano uache kubisha bisha
 
Sasa unaongea nini wewe mavurunza........hizo meli za us si waziteke sasa au azitekeki.....? Mnakamata meli ambazo hazina hata gobole la mkoloni........ninyi si wajanza ....... mmeletewa Azam sea taxi kama za ferry leteni jeuri muone
 
Kwani wazungu ndio nani mzee si hao hao walisema iraq kuna WMD na wakamuua sadam vipi hizo WMD zilionekanika
Na mimi sio nani wakubisha nimeuliza swali ambalo lipo wazi kabisa kwani us ndio aloivamia israhell
Wazungu waongo tu nawao kama watu wengine
Wewe una taarifa nyingi kuliko wazungu wa ulaya ? Taarifa zenyewe unasubiri CNN, BBC, AL-JAZERRA. GOOLE, YOU YUBE nk au unavyanxo vyako vya kuzimu. Au nipashe ?
 
Nimekuuliza waliotwambia kwamba iraq kuna WMD kina nani
Nikakuuliza tena walovamia israhell kina nani
Hata kama silk and road inataka kuzuiwa ila sio kama United Shits Of Americant kaanzisha mapigano
Labda useme kupitia haya mapigano ndio anatumia nafasi hapa naungana nawe
 
Sasa unaongea nini wewe mavurunza........hizo meli za us si waziteke sasa au azitekeki.....? Mnakamata meli ambazo hazina hata gobole la mkoloni........ninyi si wajanza ....... mmeletewa Azam sea taxi kama za ferry leteni jeuri muone
Heheeeeee kijana mbona unaanza kutokwa povu
Houthi hawana shida na meli zozote wao shida yao walisema ni meli zinazoelekea israhell ama zinazohusiana na wazayuni
Sasa hio kazi unayotaka kuwapa wewe pole kijana hio sio kazi yao labda ukaifanye wewe
 
Back
Top Bottom