Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

ID za kimkakati hizi, hivi mpo wangapi?
 
Nakumbuka enzi ya kikwete na slaa waliwahi toa tamko la vurugu wakatishia Kuna watu wanataka nchi isitawalike, wakaanzisha utaratibu wa usafi
 
Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star tv Aloyce Nyanda ni kwamba kesho JWTZ watafanya mkutano na waandishi wa habari ambapo watatoa Tamko Maalumu.

Source: Star tv The Big Agenda

Inaonesha mama anaupiga mwingi hadi jeshini
 
za chini ya uvungu wa kapeti, pamoja na hayo yote mliyo yasema tamko hilo pia litazingumzia kuhisiana na ajira za tpdf.
 
Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star tv Aloyce Nyanda ni kwamba kesho JWTZ watafanya mkutano na waandishi wa habari ambapo watatoa Tamko Maalumu.

Source: Star tv The Big Agenda
Huenda tukasikia kile alichosema atamwambia Mama faragha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…