Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Waulize luteni Urio,Lingwenya na Adamoo (makomandoo) wanaujua vizuri mziki wa wazee wa PGO
Ndiyo kesho linatolewa tamko juu yao hao ndiyo mtajua kuwa hamjui na virungu vyenu mtatandikwa huku mnachekwa na kuzomewa
 
Hata maisha yapande Hadi unga wa ugali ufike elfu 10 kwa kilo au viongozi wachezee katiba watakavyo.. ,sijaona mtanzania au jeshi la kuingia barabarani.kesho utasikia press kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya Uhuru.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna nipya. Ni isue tu za kawaida kuwahabarisha wananchi. Kwanza jeshi nalo linatimiza miaka kadhaa toka kuanzishwa kwake wakati nchi nayo inatimiza miaka 60. Inawezekana ni kuhabarisha tu wananchi kuhusiana na hilo.

Kungekua kuna isue unayoigikiria, wala hakungekuepo na press conference. Ni tangazo tu linvetolewa kupitia TBC.
 
Baadhi yenu humu mkishaangalia habari za umavimavi wa Guinea na Chad mixer Kvant mnawazaga ujinga tu mkisikia neno JWTZ.

majeshi askari wanafuga ndevu,kuna jeshi hapo[emoji23][emoji23].

yaani kuna serikali ziko taabani mpaka majeshi yake ni vurumai,mara kanari kapindua serikali,kachimbwa biti karudisha madaraka yaani ni tabu tupu[emoji1][emoji1]
 
Itakua kuhusu maadili.

Video ya vijana wa IFM ndiyo mzizi wa show.

Kama siyo hivyo kama hauna stock ya chakula kazi unayo.
 
Back
Top Bottom