Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Tarajieni kusikia makatazo ya kisiasa yanayo lihusisha jeshi(jwtz) hayo mengine ni maoni tu pia yaheshimiwe.
 
Makao makuu kwenye anuani ya barua ni ''Dodoma'' alafu ukumbi upo makao makuu ya Jeshi Upanga Dsm what is this? where is Makao makuu ya Jeshi kwa hakika.
Wamesema yaliyokuwa makao makuu.
 
Unaweza kuta wanatangaza kuwa mwenye mbuzi yule aliyekutwa karbu na kambi anafakamia majani. Huko dasilama kapatikana.
 
Back
Top Bottom