Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Binafsi sijawahi kuona wala kusikia jeshi likitoa taarifa kwa umma kwamba litatoa tamko maalum.
Wananchi wamepatwa na taharuki kubwa sana kufuatia tangazo hili.

IMG-20211129-WA0002.jpg
 
Sasa Mkuu Cha ajabu hapo ni nini ikiwa jeshi Lina kitengo Cha mawasiliano unatemegea kutakuwa kinafanya kazi gani kama hakina mahusiano na Media!! Mimi naona ni sawa TU isipokuwa tu kwa Sasa teknolojia imekua taarifa zinakufikia kiganjani. Worry out.
 
Binafsi sijawahi kuona wala kusikia jeshi likitoa taarifa kwa umma kwamba litatoa tamko maalum.
Wananchi wamepatwa na taharuki kubwa sana kufuatia tangazo hili.

View attachment 2027482
Makao makuu kwenye anuani ya barua ni ''Dodoma'' alafu ukumbi upo makao makuu ya Jeshi Upanga Dsm what is this? where is Makao makuu ya Jeshi kwa hakika.
 
Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star tv Aloyce Nyanda ni kwamba kesho JWTZ watafanya mkutano na waandishi wa habari ambapo watatoa Tamko Maalumu.

Source: Star tv The Big Agenda
Hawa Jamaa mbona wa azidi sana siku hizi... Inatia wasiwasi.
 
Back
Top Bottom