King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hahaaa i'm humbled you know!!naona unatafuta kupopolewa na Le Mbebez Yaani wewe King Kong unapenda bifu Sana,ngoja aje mi simo ujue shauri zako usipende kifananisha bamia na hogo la jhang'ombe ni vitu viwili tofauti
You know???????
Hapo umeelezea vizuri hata mimi nimekuelewaTamko la hivyo huwa halina maandalizi kwa raia unastukia tu tbc wanatangaza
Mfumuko wa Bei au serikali kupinduliwaZa chini chini ..Hilo tamko mnahisi linahusiana na Jambo gani?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acheni kuota mapinduzi hayatolewi press conference. Mgeamka asubuhi hampati network kwa simu, redio na Tv zote hazitoi matangazo kisha mkasikia tamko kutoka TBC. Press release huwa ni porojoMfumuko wa Bei au serikali kupinduliwa
I know nigga nimekaa miaka mingi America na nishakua baharia mstaafu you know?????Hahaaa i'm humbled you know!!
View attachment 2027376Ni mara chache Jeshi letu la Wananchi kuja na tamko zito kama hili kunani? Je ni kuhusu ugaidi unawosemwa katika mitandao ya kijamii? ama tuvute subira hadi hiyo kesho saa nne (4) asubuhi kujua ni habari hiyo ya kustua.
Vipi, hii itakuwa ni mara yao ya kwanza katika miaka 60?Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star tv Aloyce Nyanda ni kwamba kesho JWTZ watafanya mkutano na waandishi wa habari ambapo watatoa Tamko Maalumu.
Source: Star tv The Big Agenda
Muelekeo wa CDF upojeKwa mujibu wa mtangazaji wa Star tv Aloyce Nyanda ni kwamba kesho JWTZ watafanya mkutano na waandishi wa habari ambapo watatoa Tamko Maalumu.
Source: Star tv The Big Agenda
Nikweli ila yalikoma enzi za Id Amin wa Yuganda. Na alikuwa mtu wa mwisho kutumia media kutoa tamko la kuwa yy sasa ndiye raisImekushtua nn wewe raia ? Acha kukurupuka sio mara ya kwanza jeshi kuita vyombo vya habari na kutoa tamko au maelekezo
USSR
Atazungumzia sports and games. Wanarudisha muundo wa zamani wa kila kambi iwe na timu yake na jina lake. OverHuenda Kesho CDF Jenerali Mabeyo anataka sasa kutueleza Watanzania SIRI iliyokuweko katika Bahasha Maalum aliyokabidhiwa na Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli baada ya Kumaliza kumuelezea Rais Samia Suluhu Hassan.
Stay tunedView attachment 2027376Ni mara chache Jeshi letu la Wananchi kuja na tamko zito kama hili kunani? Je ni kuhusu ugaidi unawosemwa katika mitandao ya kijamii? ama tuvute subira hadi hiyo kesho saa nne (4) asubuhi kujua ni habari hiyo ya kustua.
Nyonyoma unachezea ban tu muda huuImekushtua nn wewe raia ? Acha kukurupuka sio mara ya kwanza jeshi kuita vyombo vya habari na kutoa tamko au maelekezo
USSR
Wapindue meza tu uwe mwisho wa kiburi cha mboga mbogaKwa mujibu wa mtangazaji wa Star tv Aloyce Nyanda ni kwamba kesho JWTZ watafanya mkutano na waandishi wa habari ambapo watatoa Tamko Maalumu.
Source: Star tv The Big Agenda
waende afghanistan waoneshe ubabe siyo kuwaonea raia tena wenye njaa na kujifanya wababeKwa mujibu wa mtangazaji wa Star tv Aloyce Nyanda ni kwamba kesho JWTZ watafanya mkutano na waandishi wa habari ambapo watatoa Tamko Maalumu.
Source: Star tv The Big Agenda