Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Magaidi wa ukweli wanaotishia usalama na uhuru kaakazini mwa Msumbiji na kusini mwa Tanzania. Sidhani kama wataongea mambo ya aibu ya uchaguzi mkuu 2020 kwa maana ya kushiriki kwao au kufanyishwa usafi kila mara CHADEMA wakitaka kufanya matembezi au wao kufanya usafi. Pengine sasa wanatangaza henceforth watafanya kazi zilizoainishwa na JWTZ. Tunachoomba usalama wa mipaka yetu.
 
Mfumuko wa Bei au serikali kupinduliwa
Acheni kuota mapinduzi hayatolewi press conference. Mgeamka asubuhi hampati network kwa simu, redio na Tv zote hazitoi matangazo kisha mkasikia tamko kutoka TBC. Press release huwa ni porojo
 
Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star tv Aloyce Nyanda ni kwamba kesho JWTZ watafanya mkutano na waandishi wa habari ambapo watatoa Tamko Maalumu.

Source: Star tv The Big Agenda
Vipi, hii itakuwa ni mara yao ya kwanza katika miaka 60?

Binafsi sijawahi sikia tangazo kama hilo toka kwa watu hao. Nyakati zinabadilika sana.
 
Imekushtua nn wewe raia ? Acha kukurupuka sio mara ya kwanza jeshi kuita vyombo vya habari na kutoa tamko au maelekezo

USSR
Nikweli ila yalikoma enzi za Id Amin wa Yuganda. Na alikuwa mtu wa mwisho kutumia media kutoa tamko la kuwa yy sasa ndiye rais
 
Huenda Kesho CDF Jenerali Mabeyo anataka sasa kutueleza Watanzania SIRI iliyokuweko katika Bahasha Maalum aliyokabidhiwa na Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli baada ya Kumaliza kumuelezea Rais Samia Suluhu Hassan.
Atazungumzia sports and games. Wanarudisha muundo wa zamani wa kila kambi iwe na timu yake na jina lake. Over
 
Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star tv Aloyce Nyanda ni kwamba kesho JWTZ watafanya mkutano na waandishi wa habari ambapo watatoa Tamko Maalumu.

Source: Star tv The Big Agenda
waende afghanistan waoneshe ubabe siyo kuwaonea raia tena wenye njaa na kujifanya wababe
 
"Tamko maalumu" means Kuna jambo nyeti ..ingekuwa Mambo ya ajira au maadhimisho ya Uhuru sidhani Kama wangesema tamko maalumu....umma Kuna kitu unaenda kuambiwa kesho na maybe kikawa supprised

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom