Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Kutuchafua wanaliita ni JWTZ lakini huku bara hatufanyi hivyo......yaani huyu anaangalia kule na huyu huku........hakuna nidhamu kabisa..................na mafunzo yaelekea ni duni............na wala hawaonyeshi ukakamavu..........hao ni wazenji tu........chenga twawala lakini mabao twafungwa.........what do you think?Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Wanamaji, wakipita kwa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (SMZ), Dk. Ali Mohammed Shein, wakati wa maadhimisho ya miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Amaan, Unguja. (Picha na Haroub Hussein).
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Wanamaji, wakipita kwa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (SMZ), Dk. Ali Mohammed Shein, wakati wa maadhimisho ya miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Amaan, Unguja. (Picha na Haroub Hussein).
Kutuchafua wanaliita ni JWTZ lakini huku bara hatufanyi hivyo......yaani huyu anaangalia kule na huyu huku........hakuna nidhamu kabisa..................na mafunzo yaelekea ni duni............na wala hawaonyeshi ukakamavu..........hao ni wazenji tu........chenga twawala lakini mabao twafungwa.........what do you think?
sijakupata bado, unamaanisha kuwa kwa hawa askari kuangalia sehemu tofauti ndo jeshi halina nidhamu?, wewe umepitia jeshi?!. Rafiki usitoe hoja usiyooijua. Hapo ilikuwa ni wakati wa kutoa heshima kwa mgeni rasmi. Hao wanao angalia mbele ni right markers, wengine wote ndo wanatakiwa kuangalia upande wa mgeni rasmi. Huo ndo utaratibu wa kutoa heshima. Tafadhari fafanua huo u-shaghalanaghala ni upi, hoja yako ya awali siyo sahihi. Nadhani wewe ndo uko shaghalabaghala upstairs.
Kuna mahali nimeuliza swali kuhusu picha hiyo. Kwa nini askari wa kike hawavai hijabu?

wa Al-Shabab wanavaa!!