Jeshi la Zanzibar linatia aibu au ndivyo inavyopaswa?

Jeshi la Zanzibar linatia aibu au ndivyo inavyopaswa?

Status
Not open for further replies.
DuH! kweli Ruta umechemsha. Mambo ya Geshi waachie wenyewe. Weye tuendage kule kwetu
 
sijakupata bado, unamaanisha kuwa kwa hawa askari kuangalia sehemu tofauti ndo jeshi halina nidhamu?, wewe umepitia jeshi?!. Rafiki usitoe hoja usiyooijua. Hapo ilikuwa ni wakati wa kutoa heshima kwa mgeni rasmi. Hao wanao angalia mbele ni right markers, wengine wote ndo wanatakiwa kuangalia upande wa mgeni rasmi. Huo ndo utaratibu wa kutoa heshima. Tafadhari fafanua huo u-shaghalanaghala ni upi, hoja yako ya awali siyo sahihi. Nadhani wewe ndo uko shaghalabaghala upstairs.

Msamehe Mkuu huyu inelekea hajapitia JKT kwa mujibu wa sheria.
Kwa tuliopitia tunamshangaa, ni kama mtu kwenda feri kushangaa maji!!!
 
Ni kweli wakati wa heshima Askri waliopo row ya kwanza huwa wanaangalia mbeli hili kunyoonsha mstari na wale wingine waliopo row ya 2 nK huwa wanageuza shingo kuangalia mahali anayepewa heshima yupo, ni staili ya majeshi mengi duniani
 
Kutuchafua wanaliita ni JWTZ lakini huku bara hatufanyi hivyo......yaani huyu anaangalia kule na huyu huku........hakuna nidhamu kabisa..................na mafunzo yaelekea ni duni............na wala hawaonyeshi ukakamavu..........hao ni wazenji tu........chenga twawala lakini mabao twafungwa.........what do you think?

umenichekesha sana mkuu, mie nilikuwa nimekuweka katika kundi la wajuzi sana wa mambo kumbe hata wanaojua mambo kuna mengine hawayajui! kimsingi hilo ni jeshi lajamhuri hakuna jeshi la bara wala bari na kupita upande wa kwanza kawaida wanatazama mbele na mistari mingine inatazama kwa yule wanaempa heshima hasa inapofika wakati wa kutoa heshima. endelea kufuatilia kwa karibu hata hapa bara utaona hiyo, inaonekana hawa jamaa unawachukia sana mpaka unashindwa kuona ukweli. wajuzi na wataalaamu hawaegemei upande wanasimamia utafiti.
 
Kutuchafua wanaliita ni JWTZ lakini huku bara hatufanyi hivyo......yaani huyu anaangalia kule na huyu huku........hakuna nidhamu kabisa..................na mafunzo yaelekea ni duni............na wala hawaonyeshi ukakamavu..........hao ni wazenji tu........chenga twawala lakini mabao twafungwa.........what do you think?

Vipi yakhe hujapitia JKT nini???? Hao si kama wanaangalia sehemu tofauti kwa makosa, la hasha ndivyo ilivyo kisheria. Unapokuwa unatoa heshima kulia wengine wote wanageuza shingo zao upande wa kulia ISIPOKUWA wale walioko far right, yaani hao unaowaona wameangalia mbele, wao hawatakiwi kukata shingo zao kulia. Kama ungekuwa umepitia JKT au japo Mgambo ungefundishwa hayo. Zamani tulikuwa tunafundishwa haya toka shule za msingi kwenye parade za usafi asubuhi kabla ya kuingia madarasani, lakini sikuhizi mhhhhhhh wapi!!!!!!!!!!!
 
Alafu kuna watu kwa chuki zao dhidi ya wengine wamemuunga mkono!
 
sijakupata bado, unamaanisha kuwa kwa hawa askari kuangalia sehemu tofauti ndo jeshi halina nidhamu?, wewe umepitia jeshi?!. Rafiki usitoe hoja usiyooijua. Hapo ilikuwa ni wakati wa kutoa heshima kwa mgeni rasmi. Hao wanao angalia mbele ni right markers, wengine wote ndo wanatakiwa kuangalia upande wa mgeni rasmi. Huo ndo utaratibu wa kutoa heshima. Tafadhari fafanua huo u-shaghalanaghala ni upi, hoja yako ya awali siyo sahihi. Nadhani wewe ndo uko shaghalabaghala upstairs.

Gama, afadhali umemuelewesha huyu bwana Ruta. Mtu ambae kajapita JKT utamjua tu. Hapo kosa likowapi!! ndio utaratibu wa kutoa heshima.
 
jamani kakoma, ila kwa siku ya pili mtu usilolijua uulize ufahamishwe na sio kukurupuka kama alivyofanya
 
01_11_tug775.jpg

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) , wakipita kwa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (SMZ), Dk. Ali Mohammed Shein, wakati wa maadhimisho ya miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Amaan, Unguja. (Picha na Haroub Hussein).
...alafu sare walizovaa kama pajama!!!!!!!!!!!!!!
 
...alafu sare walizovaa kama pajama!!!!!!!!!!!!!!

venant, tafuta nafasi ya kujua mambo. Sare za majeshi ni universal, hazitofautiani sana baina ya mataifa, majeshi mengi duniani (wanamaji) huvaa nguo ambazo kwa njia moja ama nyingine zinafanana. Nenda kwenye encycropedia utafute mavazi ya kijeshi utaelimika zaidi ktk nyanja hii.
 
sijakupata bado, unamaanisha kuwa kwa hawa askari kuangalia sehemu tofauti ndo jeshi halina nidhamu?, wewe umepitia jeshi?!. Rafiki usitoe hoja usiyooijua. Hapo ilikuwa ni wakati wa kutoa heshima kwa mgeni rasmi. Hao wanao angalia mbele ni right markers, wengine wote ndo wanatakiwa kuangalia upande wa mgeni rasmi. Huo ndo utaratibu wa kutoa heshima. Tafadhari fafanua huo u-shaghalanaghala ni upi, hoja yako ya awali siyo sahihi. Nadhani wewe ndo uko shaghalabaghala upstairs.

Gama uko sahihi kabisa, nakumbuka enzi za JKT tulifundishwa hivyo. Labda mtoa hoja kama alikuwa na maan tofauti.
 
Ruta angelikuwa muungwana angekuja hapa na kuomba radhi kwa aliyo yaandika.

Na hasa kwa kuwaomba radhi hao alokusudia kuwakashifu.
 
Kutuchafua wanaliita ni JWTZ lakini huku bara hatufanyi hivyo......yaani huyu anaangalia kule na huyu huku........hakuna nidhamu kabisa..................na mafunzo yaelekea ni duni............na wala hawaonyeshi ukakamavu..........hao ni wazenji tu........chenga twawala lakini mabao twafungwa.........what do you think?
Nadhani umekosea ndugu. Ukitizama vizuri ni kwamba mstari wa mbele huwa wanatizama mbele wakati wa kutoa heshma kwa mgeni rasmi. Mistari mingine yote hutizama kulia. Hakuna walichokosea. Mimi sijapitia jeshi ila nimesoma shule ambayo tulikuwa tukifanya sherehe za shule kwa kuongozwa na bendi ya polisi na so nina ufahamu kidogo kuhusu kutoa heshima mbele na mambo kama hayo
 
hivi kumbe vazi la hijabu ni dini.............i think hao waturuki government yao ni ya kiislam...........

unajua ukakamavu wa jeshi pia inategemea mikikimikiki walio kutana nayo...........

sasa zenji sijui hata kama waliwahi hata kupelikwa hata kusimamia amani nnchi yeyote............
so wapo full mdebwedo
 
si kweli kwamba hawana adabu kwamba kila m2 anaangalia kivyake,katika parade hao wanaoangalia mbele wanaitwa right markers ni lazima waangalie mbele na ndo wanaoendesha guard! jaribu kuuliza na siyo kuponda km hujui mambo ya parade ,tatizo hamkupita JKT! wako sahihi kabisa mkuu!
 
hivi kumbe vazi la hijabu ni dini.............i think hao waturuki government yao ni ya kiislam...........

unajua ukakamavu wa jeshi pia inategemea mikikimikiki walio kutana nayo...........

sasa zenji sijui hata kama waliwahi hata kupelikwa hata kusimamia amani nnchi yeyote............
so wapo full mdebwedo

Hivi ninyi watu muambiwe marangapi? Kama jambo hulijui uliza kwanza ! Kuropokaropoka tu utafikiri unajua kilakitu! Haswa maswala ya Jeshi hembu mchunge bongo na vidole vyenu. Mnajizzalilisha kwa kuonyesha ujinga wenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom