Jeshi laidhibiti Myanmar baada ya kumshikilia Aung San Suu Kyi

Jeshi laidhibiti Myanmar baada ya kumshikilia Aung San Suu Kyi

Wewe Ustaadh acha kutulisha maneno ya uongo. Tungekua tuna wachukia, tungewajengea ule msikiti wa kule Chamwino Dodoma?

Si tungewafukuza watoto wenu kwenye shule zetu zinazo ongoza Kitaifa kila mwaka kwenye matokeo ya mitihani mbalimbali! Achilia mbali vyuo vyetu vikuu kama SAUT, RUCU, MWECU, nk. Kote huko mnasoma bila bughudha yoyote ile!
Unafkiri izo kodi za wananchi au misaada inayoletwa unatoa ww na babayo, tumia akili usitumie mafunza katika kufkiria
 
Hakuna hata mkiristo mmoja Mtanzania anaeweza kujenga madrasa wacha chuo,hizo unazozisikia hizo zifuatilie ili uwajuwage wenyewe na wanasema kama hujui urizia iri upate kuereweshwa.

Yaani era inakotoka ikikatwa basi izo seminari zote zitageuka mazizi ya ng'ombe mbali ya makanisa nayo ni hivyo hivyo , sadaka ikianza kukata tunakimbilia kwenye ubunge kawe mbunge.

Ila hii misikiti unayoiona mbavu za mbuzi ata mtu mmoja anaingia anaswali na kutoka zake afu hakuna kulazimishana kuna kuhimizana,tatizo huelewi hizo tofauti za maneno hayo.
Tatizo uko msikitini mnafundisha chuki kuliko uislamu , hapo ndipo tatizo linapoanzaa , shule za kikristu au vyuo vya wakikristu havinaga ubaguzi wa kidini Hadi misikiti inaruhusiwa kujengwa Ila kwenye taasisi zenu mnawabagua watu kinyama
 
Jeshi la Myanmar limethibitisha kulidhibiti taifa hilo baada ya kumuweka kizuizini kiongozi wa taifa hilo Aung San Suu Kyi pamoja na wanasiasa wengine mapema hii leo.

Baada ya kumkamata kiongozi huyo kwa saa kadhaa, televisheni ya taifa imetangaza kuwa katika hali ya dharura kwa muda wa mwaka mmoja.

Aung San Suu Kyi, kiongozi wa Myanmar, ambaye chama chake cha National League for Democracy (NLD) kipo madarakani amekamatwa, msemaji wa chama amesema.

Hatua hiyo ilikuja wakati wa mvutano mkali kati ya raia na wanajeshi wakihofia jeshi kutawala.

Katika uchaguzi uliofanyika mnamo mwezi Novemba, chama cha NLD kilishinda kura nyingi lakini jeshi likadai kuwa kura zilikuwa zimeibwa.

Myanmar ambayo inajulikana kama Burma, ilikuwa ikiongozwa na jeshi mpaka mwaka 2011. Kwa miaka mingi, Bi Suu Kyi alikuwa katika kifungo cha nyumbani.

Wanajeshi walikuwa mitaani katika mitaa ya mji mkuu wa Naypyitaw pamoja na mji wa Yangon. Huduma za simu na mtandao zilizimwa katika miji mikubwa wakati televisheni ya taifa inasema kwamba kulikuwa na itilafu za kiufundi.
Wamerudi tena kuchukua nchi? Dah hii nchi kiboko. Ia Aung San Suu Kyi analaumiwa kwa kufumbia macho mauaji ya Waislam pasipo kutia neno wala kukemea
 
Hamna udikteta usiokuwa na ukomo
Tangu lini utawala wa kijeshi ukawa rafiki na masuala ya demokrasia - someni historia ya Barma, Taifa lilikuwa linatawaliwa kijeshi kwa maika mengi tangu Babake Aung San Suu Kyi apinduliwe na jeshi - jeshi liling'ang'ania madarakani mpaka UN na nchi za magharibi kuwekea shinikizo Serikali ya kijeshi kurudisha Serikali ya kiraia kupitia uchaguzi wa kidemokrasia vile vile na kumuondoa Aung San Suu Kyi kifungoni - masharti yote hayo yaliyetekelezwa kwa shingo upande, jeshi kikikasirika sana Bi Aung San Suu Kyi alipo shinda kiti cha Urais - lilikuwa ni suala la muda tu kabla ya jeshi kumpinduwa Aung San Suu Kyi na kumuweka kizuizini tena.
 
Unafkiri izo kodi za wananchi au misaada inayoletwa unatoa ww na babayo, tumia akili usitumie mafunza katika kufkiria
Wewe nguruwe pori uwe makini kuvamia wanaume. Bora ukaja kwangu moja kwa moja nitakuvumilia. Ila ukivamia na wazazi wangu, kamwe sitakupa hiyo nafasi.

Nitakuja nikunyonye m.a.v.i. mchana kweupe. Au uko kwenye siku zako?
 
Hilo jeshi si tungeliazima walau kwa mwezi moja tu kwa sababu hujuma ya uchaguzi iliyofanyika hapa huko Myanmar ni cha mtoto.

Hiyo ndio adhabu stahiki kwa wanaohujumu haki ya wananchi kwa kuhujumu uchaguzi kisha kutawala bila ridhaa ya wananchi.
 
Mkuu malipo hapa hapa duniani tena wamuue tu kwani aliyofanya kwa Waislam wasio na hatia hayavumiliki ata kdg
Huyu mama alipewa tuzo ya Nobel kwa kupinga utawala wa kijeshi kwa miaka mingi japo aliwekwa kizuizini muda mrefu.

Ila baadaye aliachiwa na chama chake kushika madaraka ila aliungana na wanajeshi pamoja na baadhi ya mabudha wenye msimamo mkali kwenye kampeni dhidi ya waislamu wa Rohingya ambapo maelfu waliuawa na wengine kuishia kwenye kambi za wakimbizi huko Bangladesh.

Sasa jeshi leo limemgeuka na kuangusha serikali yake, hii inaonyesha ushirika kati ya giza na nuru haudumu.
 
Back
Top Bottom