Jeshi letu lijifunze kutokana na vita ya Ukraine na sasa huko Israel/Hamas

Umetulia kugezo Gani kusema Jw ni ya 6 kidunia,
Maana umenifanya nicheke kifala
 
Nchi yetu ya amani bana, achana na midude hiyo....ulisikia vita tena toka 1979?
 
TUombe vita visitokee, hali ya jeshi letu tunaikuza, huo uzalendo wa karatasi na uongo sina, tunahitaji mafunzo zaidi na zana za kisasa, tuko nyuma mnoo
Hata Rwanda wanatushinda, Nasikia Kagame analidharau jeshi letu vibaya mno
 
Kwanini Israel miaka yote anasaidiwa na America, Uk; France na silaha kubwa zote wanazo. Lkn juzi wametekwa kama anakamatwa kuku ktk kibanda chake? Tujifunze kwamba Allah ni mkubwa sana
Mkuu ile ya Hamas ni advanced military strategy ambayo hata Israel hawakuigikiria.
Hii inamaana basic strategical defence policy ya Israel imekuwa shattered.
Back to the drawing board.
 
Mkuu ile ya Hamas ni advanced military strategy ambayo hata Israel hawakuigikiria.
Hii inamaana basic strategical defence policy ya Israel imekuwa shattered.
Back to the drawing board.
No. Hamas wanategemea Allah Isreal anategemea nchi za Magharibi ndio maana wanaishia kubomoa nyumba na watoto
 
Namba 6 Duniani au Africa masharik?

USA
GERMAN
FRANCE
UK
RUSSIA
CHINA
INDIA
IRAN
NORTH KOREA
UKRAINE
SAUDI ARABIA
TURKEY
Mimi nime quote maelezo ya afisa mjeshi mmoja alipokutana na Wasanii miezi michache iliyopita!
 
Wewe ni potential sana,siku hizi licha ya drones kutumika katika uwanja wa vita,pia zinatumika sana usafirisha madawa ya kulevya.
 
"Hivi vikoplo usivione hivi, vikisikia vita vinajinyea bila kutaka" alisikika Afisa Mteule wa Jeshi akiwaambia waliokuwa wakitazama ubabe wa Coplo mmoja aliyekuwa anatishia kumgonga kwa Nissan afande wa barabarani mitaa ya Mlimani City
Ukilala salama na kuamka salama, ujue kuna watu hawalali ili wewe ulale na amani yako!
 
TUombe vita visitokee, hali ya jeshi letu tunaikuza, huo uzalendo wa karatasi na uongo sina, tunahitaji mafunzo zaidi na zana za kisasa, tuko nyuma mnoo
Kwamba unazijua zana zote na mafunzo ya jeshi letu
 
Tusije kuwa na Jeshi kama hili la Naijeria ya leo ambako Askari wanaiba mafuta kwenye Kifaru hadi kinazimika halafu wanakiacha kinatekwa na Boko Haram
Hii inasababishwa na mgawanyiko ndani ya nchi , wananchi ndo jeshi la Kwanza Mzee , Ukraine imefika hapo sababu ya public support , Marekani ameikimbia Afghanistan sababu ya public support, Taliban walikuwa wanakubalika na wananchi , ukikosa support ya wananchi hata uwe na jeshi imara kiasi gani lazima uchezee tuu , hii nch sa hv tumefikia hatua ya kudharauliana kikanda na kikabila , hyo ni worst mistake Sana , wakat wa Amani huwezi jua kama kuna tatizo , Ila ngoja shida ama vita itokee ndo utajua hujui hata kama Una jeshi imara utatepeta tuu
 
Vita si lelemama, hausimami na kuamuru kupigana kama unavyodhani, kwanza na nani? Labda kwa kigezo cha wivu wa mapenzi.
 
Drones are the tactical gamechanger in the modern warfare...not expensive and still very effective at destroying the target...also you have an option of using some as a decoy to deceive the enemy...parts can be easily assembled and deployed within few hours...We as a country we need to invest in drones before someone in our region outcompete us.
 
Ikitokea Tanzania ikaingia vitani sasa hivi itackazwa mapema sana. Tazama adui anachimba mahandaki (underground tunnel) Zanzibar kupitia baharini na kuibukia kwenye ardhi yao ya Bagamoyo kisha wanarusha makombora magogoni, Tanga, Morogoro na Dodoma. Rwanda (M23 rebels)
, Burundi na DRC wanachimba mahandaki yao chini ya ziwa Tanganyika na kuibukia kwenye ardhi yao ya Buhigwe, Katavi na Ngara.
Zambia na Malawi wanachimba mahandaki yao wanaibukia ardhi yao ya Tunduma, Ileje, Kyela , Njombe na Mbamba bay huko Nyasa ni balaa tupu
Msumbiji jimbo la Cabo Delgado magaidi ya Al Shabab wanachimba mahandaki yao kuvuka mto Ruvuma kulenga ukanda wa gesi utawazuia na kitu gani?


Waasi wa uganda ADF na balaa lao usiombe vita

Nchi pekee itakayo acha kuishambulia Tanzaia ni tatu tu yaani Zambia, DRC Congo na Kenya pekee nimemaliza
 
Kwanini Israel miaka yote anasaidiwa na America, Uk; France na silaha kubwa zote wanazo. Lkn juzi wametekwa kama anakamatwa kuku ktk kibanda chake? Tujifunze kwamba Allah ni mkubwa sana
Stupid fool.

usiigize udini kwenye makosa ya binadamu wenyewe.

JINGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…