Jeshi letu lijifunze kutokana na vita ya Ukraine na sasa huko Israel/Hamas

View attachment 2788069
View attachment 2788073
Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ.
Limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi.

Ilipoingia 1978, November/December hadi 1979,jeshi lilipitia "baptism of fire" wakati wa Vita ya Kagera.

Kimsingi baada ya vita ile ikadhihirika kuwa Defence Policy iko safi na inafanya kazi katika mazingira ya wakati ule.

Najua leo jeshi liko complex kuliko wakati huo na lina vyuo vyake ambavyo ni Think Tanks, kama National Defence College pale Kunduchi.

Sasa leo kuna vita hivi vya Ukraine na vile vile Israel na Hamas.
Mbinu zilizo jitokeza na kuwa very effective katika kushambulia adui , ni matumzi ya Drones na Missiles.

Huko Ukraine drones zimekuwa a weapon of choice katika ku target sehemu za adui kwa pande zote.

Hamas juzi kwa vifaa ambavyo waweza kufikiri ni vya mchezo mchezo tu, katumia drones ambazo zimechakaza vibaya miuondombinu ya kijeshi ya Israel iliyokuwa mstari wa mbele.

Kwamba wameuawa wanajeshi zaidi ya 300 wa Israel, katika mashambulio ,hilo na jambo kubwa sana.

Maoni yangu ni Jeshi letu vile vile litazame upya Defence Policy yake ili matumizi ya vifaa hivi viweze kujumuishwa katika ulinzi wa nchi yetu.
Nawaza tu!
Si walisema Tanzania inanjeshi bora na imara sasa unataka wajifunze nini tena wakati wako imara, mfano angalia wanavyojua kuvunja tofali na kufanya maonyesho kwenye sikukuu za kitaifa
 
Labda kama kuna vijana wengine wapo ndichi huko makambini.
Ila kwa hawa wa huku mtaani hawana lolote, kutwa tuna kunywa nao mipombe na kugombea malaya kwenye nyumba za starehe.
Njoo Goba/Madale nikuonyeshe Maofisa walivyofuga mitumbo kwa bia na nyama choma za kila weekend pale mnada wa mbuzi six.
 
View attachment 2788069
View attachment 2788073
Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ.
Limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi.

Ilipoingia 1978, November/December hadi 1979,jeshi lilipitia "baptism of fire" wakati wa Vita ya Kagera.

Kimsingi baada ya vita ile ikadhihirika kuwa Defence Policy iko safi na inafanya kazi katika mazingira ya wakati ule.

Najua leo jeshi liko complex kuliko wakati huo na lina vyuo vyake ambavyo ni Think Tanks, kama National Defence College pale Kunduchi.

Sasa leo kuna vita hivi vya Ukraine na vile vile Israel na Hamas.
Mbinu zilizo jitokeza na kuwa very effective katika kushambulia adui , ni matumzi ya Drones na Missiles.

Huko Ukraine drones zimekuwa a weapon of choice katika ku target sehemu za adui kwa pande zote.

Hamas juzi kwa vifaa ambavyo waweza kufikiri ni vya mchezo mchezo tu, katumia drones ambazo zimechakaza vibaya miuondombinu ya kijeshi ya Israel iliyokuwa mstari wa mbele.

Kwamba wameuawa wanajeshi zaidi ya 300 wa Israel, katika mashambulio ,hilo na jambo kubwa sana.

Maoni yangu ni Jeshi letu vile vile litazame upya Defence Policy yake ili matumizi ya vifaa hivi viweze kujumuishwa katika ulinzi wa nchi yetu.
Nawaza tu!
Sheria za Tanzania, raia akibuni silaha anakabiliwa na miaka 30 jela.

Unadhani tutafika huko kwa pesa za hizi misaada?
 
"Hivi vikoplo usivione hivi, vikisikia vita vinajinyea bila kutaka" alisikika Afisa Mteule wa Jeshi akiwaambia waliokuwa wakitazama ubabe wa Coplo mmoja aliyekuwa anatishia kumgonga kwa Nissan afande wa barabarani mitaa ya Mlimani City
Hahahaha
 
Ni kweli! Nadhani Jeshi letu liko vizuri tu, maana kama linashika namba 6 duniani kwa ubora, ni swala la kuwekeza tu katika Technology ya zana za kivita.
Lakini hata hivyo bajeti ni changamoto, na sijui Serikali inatenga kiasi gani kila mwaka katika bajeti kwa ajili ya Wizara ya Ulinzi!
Ubora wa kupasua matofali?
 
Ukweli nikuwa, Vifaa vingi vya kisasa kuanzia kurusha mabomu nk vinahitaji watu wenye Elimu ya Physics; na maanisha ukiwa nao hao, uwezekano wa kulenga target ni 85-95% wakati hawa wengine pengine uwezekano wa kulenga target ni chini ya nusu; Vijana wapo mtaani wengi tu hawana ajira hivyo tuna nafasi ya kuendelea kuimarisha jeshi polepole......
 
Huo ni msimamo hasi, itabidi tubadilike.
Tuanze kubadili mindset.

Hii nchi siyo ya viongozi bali ya raia. Tukiweza kuwaelimisha vijana wetu majeshini kuhusu hilo tutakuwa na wepesi kupiga hatua gatuzi za maendelek
 
Si walisema Tanzania inanjeshi bora na imara sasa unataka wajifunze nini tena wakati wako imara, mfano angalia wanavyojua kuvunja tofali na kufanya maonyesho kwenye sikukuu za kitaifa
Hizo ni jaramba za ku keep fit.
Peleka mwimba taarab front halafu tupe mrejesho.
 
YANI VITA YA MWAKA 70' HUKO ALIYESHINDA TANGANYIKA INATUMIKA REFERENCE YA UIMARA WA JESHI 21st CENTURY????

YOU GAT TO BE KIDDING ME MEN
Nyie kule kijiji cha Katerero si "magari" yenu yalitekwa na askari wa Amin.waliolewa, na kubebwa na Landirova.
Vize ambavyo vilishindwa kukimbia vilibakwa, au umesahau?
 
Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ, limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi.

Ilipoingia 1978, November/December hadi 1979, jeshi lilipitia "baptism of fire" wakati wa Vita ya Kagera.

Kimsingi baada ya vita ile ikadhihirika kuwa Defence Policy iko safi na inafanya kazi katika mazingira ya wakati ule.

Najua leo jeshi liko complex kuliko wakati huo na lina vyuo vyake ambavyo ni Think Tanks, kama National Defence College pale Kunduchi.

Sasa leo kuna vita hivi vya Ukraine na vile vile Israel na Hamas. Mbinu zilizojitokeza na kuwa very effective katika kushambulia adui, ni matumzi ya Drones na Missiles.

Huko Ukraine drones zimekuwa a weapon of choice katika ku target sehemu za adui kwa pande zote.

Hamas juzi kwa vifaa ambavyo waweza kufikiri ni vya mchezo mchezo tu, katumia drones ambazo zimechakaza vibaya miuondombinu ya kijeshi ya Israel iliyokuwa mstari wa mbele.

Kwamba wameuawa wanajeshi zaidi ya 300 wa Israel katika mashambulio, hilo na jambo kubwa sana.

Maoni yangu ni; Jeshi letu vile vile litazame upya Defence Policy yake ili matumizi ya vifaa hivi viweze kujumuishwa katika ulinzi wa nchi yetu.

Nawaza tu!
Katika upande wa intelijensia bongo ndio 0 kabisa, usitaku upate ushahidi zaidi yakuchunguza wenyewe
 
Back
Top Bottom