Pre GE2025 Jeshi liheshimiwe na wanasiasa

Pre GE2025 Jeshi liheshimiwe na wanasiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
The European Union (EU) is considering providing up to €40 million (Rwf56 billion) in support to anti-terrorism operations by Rwandan Security Forces(RSF) in Mozambique, Bloomberg reports.

Rwandan forces have been fighting Islamic State-linked terrorists in Mozambique’s northern province of Cabo Delgado since 2021.

ALSO READ: Rwanda, Mozambique armies pursue terrorists in Nampula Province

The EU first provided €20 million support to the RSF operations in the Southern African country in December 2022.

The proposal to provide additional support to Rwandan operations in Mozambique will be discussed by EU member states in the coming weeks, Bloomberg said, citing two anonymous official sources.

ALSO READ: Cabo Delgado: Over 250,000 people return home, sea, air ports re-open

At the invitation of the Mozambican government, in July 2021 Rwanda deployed troops to Cabo Delgado to fight Islamist insurgents, who had destabilised the coastal province since 2017, killing more than 4,000 people and displacing hundreds of thousands more.

ALSO READ: Why Rwanda is bolstering forces in northern Mozambique
 
Hii tabia ya Wanasiasa kutumia jeshi kwa mambo ya kisiasa inakera.

Majeshi yaletu yako kwa ajili ya kuhudumia Taifa na rai wake.

Kuna sababu Gani kutumia wapiganaji wa vita katika mambo ya siasa za ndani?

Jeshi la polisi kwanini lisitumike kulinda usalama wa raia na Mali zao kama ilivyo kusudi la kuanzishwa kwake.

Tuelewane kuwa Chadema wametangaza Maandamano ya AMANI. Sasa kitendo Cha kuwaleta wanajeshi katika hekaheka za maandamano inamaanishi kushindwa kwa Polisi kulinda usalama?

Ndugu Chalamila Umezowea kufanyia comedy kwa kilakitu. Sasa umevuka mipaka.

Itafikia wakati jeshi litaonekana kitu Cha kawaida.

Ikifikia ile hatua raia wamezowea migongano na Jeshi la ulinzi, je utatumia jeshi gani panapobidi?
Kama Jeshi litaamua kutumikia CCM. Itafikia wakati Upinzani noa wataona haja ya kuwa na Jeshi lao. Ili ikitokea mazingira ya kupambana na Jeshi la CCM basi Jeshi la Upinzani lihusike.
Tulitarajia kwamba CCM nao waitishe maandamano Yao ya AMANI kuunga mkono muswada na kushinikiza bunge lao lipitishe. Hii ingeamsha ari na shauku ya Kila raia kutaka kuelewa miswada hiyo.

Tunaomba tabia ya kuliweka jeshi letu mbele kwenye mambo yenu ya kisiasa ifike mwisho.
Tambua wapo Watanzania wasio na vyama na hatufurahii kuona heshima ya jeshi letu pendwa ikichezewa na Wanasiasa.
Kama mnaona hamuwezi kurumbana kwa hoja basi acheni siasa njooni shambani tulime.
Soma kuhusu ostracism utanishukuru
 
Back
Top Bottom