Ila hali ya Sasa hivi ni ukapitalisti mtupu usoshalisti upo kwenye makaratasi tu.Watu humu hawafahamu siasa za kikomunisti na kijamaa.
Let make it simple nchi yetu ni nchi ya kijamaa (ukomunisti uchwara ) kwa mujibu wa katiba pasipo kujali unafuatwa kivitendo kikamilifu au laah!
Ukijua haya huwezi shangaa yanayo endelea kati ya CCM na majeshi yote.
Nawatakia kila la kheri nyombo vya ulinzi na usalama nchini kwa uimara, bidii na weledi katika kudhibiti uharibifu, uporaji na uhalifu mathalani wa mapanyarodi, nyumbu na maandamanaji haramu πHili suala la jeshi kuamriwa kufanya usafi kila vyama vya upinzani vinapotangaza maandamano halikubaliki.
Wote tunalia hali ngumu ya maisha ikiwemo wanajeshi pamoja na familia zao na viongozi wa serikali wako kimya, halafu wanapotakiwa kufanya kitu walau hata kwa shinikizo la maandamano, wanakimbilia Kuomba wanajeshi wetu wakafagie barabara na kuokota makopo! Kweli jamani?!! Hapana. Hii haikubliki kabisa.
Wanajeshi tumikieni maslahi ya nchi na wananchi wake na wala siyo viongozi wa hovyo wanaotusababishia hali ngumu kutokana na matumizi yao ya anasa huku raia tunaumia.
Jitambueni nyinyi ni watu wa muhimu sana kwa nchi na mnapaswa kuheshimiwa na siyo kutumika.
Shsyee! Eroo, Mbona hata huo ukapitalisti wao sio ule unaofahamika. Huo wa kwao wanaotumia ni unachenga nyingi saana' sio HD.Ila hali ya Sasa hivi ni ukapitalisti mtupu usoshalisti upo kwenye makaratasi tu.
Alafu Kuna mtu anasema waliozaliwa tisini 90s ndio wanasabanisha matatizo Kwa Taifa eti kisa wanamambo ya laana wakati inajulikana Taifa lipo kwenye mikono ya kizazi ganiHili suala la jeshi kuamriwa kufanya usafi kila vyama vya upinzani vinapotangaza maandamano halikubaliki.
Wote tunalia hali ngumu ya maisha ikiwemo wanajeshi pamoja na familia zao na viongozi wa serikali wako kimya, halafu wanapotakiwa kufanya kitu walau hata kwa shinikizo la maandamano, wanakimbilia Kuomba wanajeshi wetu wakafagie barabara na kuokota makopo! Kweli jamani?!! Hapana. Hii haikubliki kabisa.
Wanajeshi tumikieni maslahi ya nchi na wananchi wake na wala siyo viongozi wa hovyo wanaotusababishia hali ngumu kutokana na matumizi yao ya anasa huku raia tunaumia.
Jitambueni nyinyi ni watu wa muhimu sana kwa nchi na mnapaswa kuheshimiwa na siyo kutumika.
Siku zao zinahesabikaWametudharau wananchi wameona hatoshi wameamua kulidharau na jeshi letu.
Unaongelea jeshi ambalo linawapiga raia hovyo hovyo mitaani?Hili suala la jeshi kuamriwa kufanya usafi kila vyama vya upinzani vinapotangaza maandamano halikubaliki.
Wote tunalia hali ngumu ya maisha ikiwemo wanajeshi pamoja na familia zao na viongozi wa serikali wako kimya, halafu wanapotakiwa kufanya kitu walau hata kwa shinikizo la maandamano, wanakimbilia Kuomba wanajeshi wetu wakafagie barabara na kuokota makopo! Kweli jamani?!! Hapana. Hii haikubliki kabisa.
Wanajeshi tumikieni maslahi ya nchi na wananchi wake na wala siyo viongozi wa hovyo wanaotusababishia hali ngumu kutokana na matumizi yao ya anasa huku raia tunaumia.
Jitambueni nyinyi ni watu wa muhimu sana kwa nchi na mnapaswa kuheshimiwa na siyo kutumika.
Ni wizi mtupu mkuu.Shsyee! Eroo, Mbona hata huo ukapitalisti wao sio ule unaofahamika. Huo wa kwao wanaotumia ni unachenga nyingi saana' sio HD.
Jeshi la kwanza kabisa baada ya ya la wakoloni kutimuliwa na nyerere lilijengwa na vijana was UVCCM!Kama USA wako very strict.
Wangekuwa kama hawa wetu, Trump angekuwa madarakani hadi kesho (japo binafsi pia huwa namkubali sana Trump).
Hawa wa kwetu wanaongozwa zaidi na akili za tumboni za kulinda ugali wao na familia zao na wala siyo kuangalia maslahi ya nchi.
Wanajeshi wanapaswa kuheshimu mamlaka ndio maana wakuu wa mkoa na wilaya wanapigiwa salute na hao wanajeshi ,wakipewa agizo ni utii ,nawasifia sana ni watiifuHili suala la jeshi kuamriwa kufanya usafi kila vyama vya upinzani vinapotangaza maandamano halikubaliki.
Wote tunalia hali ngumu ya maisha ikiwemo wanajeshi pamoja na familia zao na viongozi wa serikali wako kimya, halafu wanapotakiwa kufanya kitu walau hata kwa shinikizo la maandamano, wanakimbilia Kuomba wanajeshi wetu wakafagie barabara na kuokota makopo! Kweli jamani?!! Hapana. Hii haikubliki kabisa.
Wanajeshi tumikieni maslahi ya nchi na wananchi wake na wala siyo viongozi wa hovyo wanaotusababishia hali ngumu kutokana na matumizi yao ya anasa huku raia tunaumia.
Jitambueni nyinyi ni watu wa muhimu sana kwa nchi na mnapaswa kuheshimiwa na siyo kutumika.
Nilishaandika kabisa uzi hapa JF kuhusiana na kizazi hiki kinachotuongoza Mkuu. Nadhani mambo yatakaa sawa tukifanya kama walivyofanya Burkina Fasso. Tuweke vijana wadogo lakini wazalendo kwa Taifa Lao.Alafu Kuna mtu anasema waliozaliwa tisini 90s ndio wanasabanisha matatizo Kwa Taifa eti kisa wanamambo ya laana wakati inajulikana Taifa lipo kwenye mikono ya kizazi gani
Hoja yako imekaa kisiasa mno. Kwani Usafi hauwezi kufanyika siku nyingine isipokuwa siku hiyo ambayo hao jamaa walishapanga maandamano?Nawatakia kila la kheri nyombo vya ulinzi na usalama nchini kwa uimara, bidii na weledi katika kudhibiti uharibifu, uporaji na uhalifu mathalani wa mapanyarodi, nyumbu na maandamanaji haramu π
Wanainchi wengi hususani mimi mwenyewe nawapongeza sana kwa ubunifu mlokuja nao. Suala la usafi wa mazingira jijini Dar es Salaam ni muhimu sana hususani kipindi hiki hatarishi kwa mlipuko wa kipindupindu....
Yeyote atakae jitokeze kuchafua mliposafisha huyo ni takataka tembeeni nae bila mbambamba mwendo wa ngiri, ili iwe fundisho kwa wakaidi na wachafua mazingira wengine....
Tunategemea Amani na utulivu wa kiwango cha lami January 23 na 24...π
Mungu Ibariki Tanzania..
Kwa nini wasikubali Mkuu?!Jeshi la kwanza kabisa baada ya ya la wakoloni kutimuliwa na nyerere lilijengwa na vijana was UVCCM!
Tusishangae Kwa haya!!
La kujiuliza he jwtz watakubali!!?
NakaziaNaunga mkono hoja. [emoji122][emoji122]
Ni jeshi la hovyo sanaUnaongelea jeshi ambalo linawapiga raia hovyo hovyo mitaani?
Yeah. Na hao wachache ndo wamelewa kiasi cha kutaka kuwaamuru hata Wanajeshi wetu watukufu eti wainame washike mfagio kufagia barabara ili VX 9 zilizonunuliwa kwa kodi zetu ambazo ndizo wanazotumia wao zipite vizuri. Ni AIBU. AIBU mno.Ni wizi mtupu mkuu.
Wengi wanaumia, wanafaidi wachache
[emoji851]Shsyee! Eroo, Mbona hata huo ukapitalisti wao sio ule unaofahamika. Huo wa kwao wanaotumia ni unachenga nyingi saana' sio HD.
Hilo hilo Mkuu.Unaongelea jeshi ambalo linawapiga raia hovyo hovyo mitaani?
Hili halikubalikiYeah. Na hao wachache ndo wamelewa kiasi cha kutaka kuwaamuru hata Wanajeshi wetu watukufu eti wainame washike mfagio kufagia barabara ili VX 9 zilizonunuliwa kwa kodi zetu ambazo ndizo wanazotumia wao zipite vizuri. Ni AIBU. AIBU mno.
π³Ni jeshi la hovyo sana
Umenena vyema Mkuu.Kweli kabisa mkuu.
Wanajeshi wana kazi siku zote -asikudanganye mtu. Kila kukicha salama tutambue uwepo wao. Kama hakuna vita au Vurugu; huo huwa ni wakati wa kazi za maandalizi e.g. mazoezi, mafunzo ya mbinu mpya na silaha mpya zinazoendana na wakati n.k. ie. Wanajeshi hawapumziki kama tunavyowadhania eti tunawaona wanaranda-randa mitaani. Ukiwaona mitaani ujue nayo hiyo ni mojawapo ya shughuli za ki-Upelezi.
Kwa kweli Mkuu wa Mkoa inafaa afanye mabadiliko atumie nguvu kazi nyingine sio Wanajeshi. Jeshi lipewe na liachiwe HESHIMA yake.