Jeshi ni taasisi makini kweli?

Jeshi ni taasisi makini kweli?

BABAAKUBWA

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
120
Reaction score
27
Ndugu wanaJf,
Nimetathmin utendaji na weledi wa marais wanne wa JMT (1961-2013),nikagundua kuwa ni katika kipindi cha utawala wa afande J.K (2005-2013) ambapo madudu mengi yamefanyika: 1)vijana wengi sana wamekufa kwa kubwiya unga ama kugeuzwa makontena ya kusafirishia `unga' wa vigogo,2)raia wengi sana wamelemaa na wengine wameuawa kwa risasi,mabomu, tindikali, mapanga, kwa mkono wa serikali, 3) maisha ya raia yamezidi kuwa magumu kupindukia kuliko hata wakati hatujawauzia wageni madini yote,ardhi yetu,mashirika yetu ya umma, hifadhi zetu za wanyama, misitu n.k, 4) jwtz wameua raia kikatili kule mtwara na ktk hili la opareshen tokomeza ujangili,5)Tz imepoteza mvuto kwa majirani na afrika, 6)Ufisadi wa kupindukia,ubakaji na ujangili miongon mwa vigogo umezidi!

Niliipotupia jicho hata marekani yenye marais 44 (1776- 2013) nikagundua kuwa marais waliowahi kufanya vizuri sana kiuongozi hawakuwahi kuwa wanajeshi. hawa ni pamoja na woodrow wilson,franklin delano roosetelt, bill clinton na obama!
Nawasilisha.
 
Makini sana
 
Attachments

  • IMG-20111216-00343.jpg
    IMG-20111216-00343.jpg
    40.7 KB · Views: 276
we unatoa bash wakati M23, DRC, USA, UN, wanatusifu kwa uweledi wa jeshi letu kaitka medani ya mapigano. may be kizuri hakikosi kasoro.
 
Makini sana
Hapo hujabinisha kitu tuelewe, kama mwanajeshi kuonekana bar navazi ya kijeshi inategemea yuko bar ipi, unajua baadhi yamakambi ya bar wao huita mesi. sisi wazee wa enzi tulikua tunajenga mahusiano nao, kupata vivywaji vya bei nafuu, ebu bainisha ni wapi hapo.
 
Yani asikwambie mtu hakuna taasisi makini kama jeshi kwa kila sector ndugu yangu jarbu kujua jins linavyo fanya kaz zke
 
Ndugu wanaJf,
Nimetathmin utendaji na weledi wa marais wanne wa JMT (1961-2013),nikagundua kuwa ni katika kipindi cha utawala wa afande J.K (2005-2013) ambapo madudu mengi yamefanyika: 1)vijana wengi sana wamekufa kwa kubwiya unga ama kugeuzwa makontena ya kusafirishia `unga' wa vigogo,2)raia wengi sana wamelemaa na wengine wameuawa kwa risasi,mabomu, tindikali, mapanga, kwa mkono wa serikali, 3) maisha ya raia yamezidi kuwa magumu kupindukia kuliko hata wakati hatujawauzia wageni madini yote,ardhi yetu,mashirika yetu ya umma, hifadhi zetu za wanyama, misitu n.k, 4) jwtz wameua raia kikatili kule mtwara na ktk hili la opareshen tokomeza ujangili,5)Tz imepoteza mvuto kwa majirani na afrika, 6)Ufisadi wa kupindukia,ubakaji na ujangili miongon mwa vigogo umezidi!

Niliipotupia jicho hata marekani yenye marais 44 (1776- 2013) nikagundua kuwa marais waliowahi kufanya vizuri sana kiuongozi hawakuwahi kuwa wanajeshi. hawa ni pamoja na woodrow wilson,franklin delano roosetelt, bill clinton na obama!
Nawasilisha.
Mkuu tathimini yako umetumia vigezo vipi ili kupata ulinganivu ilioutoa, kuna watu wangapi waliotoka jeshini ambao wameshindwa, je pamoja mhe. Kikwete kupitia jeshini, unahistoria yake kisiasa? Na hao wengine mbona hujataja taasisi walizokua kabla ya kuingia kwenye siasa.
 
Kuwa mwanajeshi inategemea akili yako na uwezo wako binafsi wa kupambanua na kutekeleza maamuzi yako kwa kufuata maelekezo. Makamanda wengi wa ukweli huwa hamalizi kule TMA. Comptance commanders huwa hawamalizi course mpaka leo wengi hufukuzwa kwa mambo madogomadogo sana. So mpaka leo wengi ni makamanda maandazi 90%.
 
yani jeshi ndio taasis makini. hapo cjaona point .
 
Kuwa mwanajeshi inategemea akili yako na uwezo wako binafsi wa kupambanua na kutekeleza maamuzi yako kwa kufuata maelekezo. Makamanda wengi wa ukweli huwa hamalizi kule TMA. Comptance commanders huwa hawamalizi course mpaka leo wengi hufukuzwa kwa mambo madogomadogo sana. So mpaka leo wengi ni makamanda maandazi 90%.
Hao wanafukuzwa ni wale ni wanaotaka kubali kwenda watavyo wao, naamini mfomo wa uendeshaji majeshi hautofatani sana, ndomaana majeshi ya nchi mbalimbali huja kujifunza kwetu, na hawa kwetu wanaenda kujifunza kwao. Jeshi hutofautiana maendeleo kulingana nchi iliyomo, huwezi kuwa na jeshi bora bila nidhamu.Hata jeshi la marekani huo ndio msingi wake, silaha na vifaa vingine ni vitendea kazi tu. Bila nidhamu hata uwe uwe dhana gani ni bure. Eti unataka wapuuze makosa kwavile midogo, jeshi ni kama mpira wamiguu unachojifuza wewe ndicho anachojifunza mwenzio, kosa moja dogo lawezawagarimu. Mimi nyie wasomi jeshi mahala panu, bakini hukuhuku uraiani mjenge viwanda vitengeze magari, matrectar, baiskel, na vifaa vingine tunavoagiza mtakua mmeisadia zaidi kuliko kwenda jeshini, maana hata mkifukuzwa huko jeshini hatuoni kipya huku uraini, ili jeshi lijilaumu kwakufukuza sana mnaishia kujisifu, huku nina nyumba mbili na magari ya Kijapani ma 3. Kama wanajeshi ni maandazi, sisi huku tutakua raia vitumbua.
 
Ndugu wanaJf,
Nimetathmin utendaji na weledi wa marais wanne wa JMT (1961-2013),nikagundua kuwa ni katika kipindi cha utawala wa afande J.K (2005-2013) ambapo madudu mengi yamefanyika: 1)vijana wengi sana wamekufa kwa kubwiya unga ama kugeuzwa makontena ya kusafirishia `unga' wa vigogo,2)raia wengi sana wamelemaa na wengine wameuawa kwa risasi,mabomu, tindikali, mapanga, kwa mkono wa serikali, 3) maisha ya raia yamezidi kuwa magumu kupindukia kuliko hata wakati hatujawauzia wageni madini yote,ardhi yetu,mashirika yetu ya umma, hifadhi zetu za wanyama, misitu n.k, 4) jwtz wameua raia kikatili kule mtwara na ktk hili la opareshen tokomeza ujangili,5)Tz imepoteza mvuto kwa majirani na afrika, 6)Ufisadi wa kupindukia,ubakaji na ujangili miongon mwa vigogo umezidi!

Niliipotupia jicho hata marekani yenye marais 44 (1776- 2013) nikagundua kuwa marais waliowahi kufanya vizuri sana kiuongozi hawakuwahi kuwa wanajeshi. hawa ni pamoja na woodrow wilson,franklin delano roosetelt, bill clinton na obama!
Nawasilisha.

Umesahau kuangalia factor moja ya muhimu sana ambayo imekufanya umissjudge na kuwa biased, nayo ni RAPID changes in TECHNOLOGY na inavyohusiana na maisha halisi ya kila mtu duniani. Hii imesababisha dunia kuwa kama kjiji, inafikika popote pale kwa urahisi tu na kwa muda mfupi tu. Hata usipoweza kufika sehemu, unaweza kuaanya maongezi na mtu wa huko hata kama ni mbali namna gani, as if unaongea na mtu yuko sebuleni kwako,ukapata taarifa zote unazohitaji ......ICT na rapid spread and sharing of information. Hivi vitu ndiyo pia, pamoja na kuwa na faida lukuki, vinakuwa na madhara kama ya ongezeko la crime records, si kwa Tanzania tu bali kwa ulimwengui mzima. Nina wasiwasi kuwa negatives unazozitaja hapa kwa kiasi kikubwa zaweza kuwa zimekuwa escalated na vitu hivi nilivyovitaja hapa, japo sikanushi kabisa kuwa na sisi kama nchi kuna kisehemu chetu ambacho kwa namna moja ama nyingine, twaweza kuwa kweli tumeshiriki kama mchango wetu, ila ninachosema kuwa in the big picture haya matatizo unayoyaona hapa kwetu si ya Tanzania tu ila ni global, na kuna uwezekano mkubwa sana yakawa yanazidi kuendelea kukua kadri siku zinavyopita kiasi kwamba utakuwa siku zote unaona kuwa kila Rais anayekuja ni mbaya kuliko aliyepita nyuma yake.
 
Back
Top Bottom