BABAAKUBWA
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 120
- 27
Ndugu wanaJf,
Nimetathmin utendaji na weledi wa marais wanne wa JMT (1961-2013),nikagundua kuwa ni katika kipindi cha utawala wa afande J.K (2005-2013) ambapo madudu mengi yamefanyika: 1)vijana wengi sana wamekufa kwa kubwiya unga ama kugeuzwa makontena ya kusafirishia `unga' wa vigogo,2)raia wengi sana wamelemaa na wengine wameuawa kwa risasi,mabomu, tindikali, mapanga, kwa mkono wa serikali, 3) maisha ya raia yamezidi kuwa magumu kupindukia kuliko hata wakati hatujawauzia wageni madini yote,ardhi yetu,mashirika yetu ya umma, hifadhi zetu za wanyama, misitu n.k, 4) jwtz wameua raia kikatili kule mtwara na ktk hili la opareshen tokomeza ujangili,5)Tz imepoteza mvuto kwa majirani na afrika, 6)Ufisadi wa kupindukia,ubakaji na ujangili miongon mwa vigogo umezidi!
Niliipotupia jicho hata marekani yenye marais 44 (1776- 2013) nikagundua kuwa marais waliowahi kufanya vizuri sana kiuongozi hawakuwahi kuwa wanajeshi. hawa ni pamoja na woodrow wilson,franklin delano roosetelt, bill clinton na obama!
Nawasilisha.