Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kipo mkoa gani hicho chuo na kipo wilaya gani mkuu update pleas hila hongeera rais wenu kwa maamuzi magumu na makini
Kwa hiyo unataka nisomeje unanishauri kusoma unajua nmefikaje nilipo ww? mitihan yote ninayo fanya umenifaulisha ww? Toa uchovu apaa, na Usikurupuke kama mada haikuhusu sepaa,
nadhani ingekuwa busara zaidi ungekuwa unajibu kwa upole na unyenyekevuKwa hiyo unataka nisomeje unanishauri kusoma unajua nmefikaje nilipo ww? mitihan yote ninayo fanya umenifaulisha ww? Toa uchovu apaa, na Usikurupuke kama mada haikuhusu sepaa,
Habari zenu wanajamvi Raisi wa serikali ya chuo kikuu kishiriki cha sayansi na tiba cha mt. Fransisko (FADHILI KALOKOLA) amemteua JESSAM NYATO, kuwa waziri mkuu mpya wa serikali yake, uteuzi huu umekuja baada ya kuvunjwa kwa baraza la mawaziri siku ya j,pili kutokana na kushindwa kuwajibika kwa baraza hilo.
my take.
Nampongeza Raisi kwa uteuzi huu makini ambao naamini utakuwa na manufaa kwa jamii ya watu wa chuo kikuu kishiriki cha mt. FRANSISKO
Naomba kuwasilisha.
Sasa utaletaje habari ya kichuo ambacho 99.999% hatukijui? kabandike upuuzi huu kwenye mbao za matangazo ya sekondari yenu
Kwa hiyo wenye div. Three kwa akili zako wamefel? Unajua pass mark za chuo adi uchaguliwe umepassijee? Au unatumia pua kufikir