Jessam Nyato ateuliwa kuwa waziri mkuu wa serikali ya chuo kikuu cha sayansi na tiba cha mt. Fransis

Jessam Nyato ateuliwa kuwa waziri mkuu wa serikali ya chuo kikuu cha sayansi na tiba cha mt. Fransis

Status
Not open for further replies.
kipo mkoa gani hicho chuo na kipo wilaya gani mkuu update pleas hila hongeera rais wenu kwa maamuzi magumu na makini
Kipo ifakara morogoro mkuu ni tawi la sauti
 
Kwa hiyo unataka nisomeje unanishauri kusoma unajua nmefikaje nilipo ww? mitihan yote ninayo fanya umenifaulisha ww? Toa uchovu apaa, na Usikurupuke kama mada haikuhusu sepaa,

umefika kwa division three ya kuokoteza na ndio maana unasoma chuo pori ifakara!!!
 
Kwa hiyo unataka nisomeje unanishauri kusoma unajua nmefikaje nilipo ww? mitihan yote ninayo fanya umenifaulisha ww? Toa uchovu apaa, na Usikurupuke kama mada haikuhusu sepaa,
nadhani ingekuwa busara zaidi ungekuwa unajibu kwa upole na unyenyekevu
 
umefika kwa division three ya kuokoteza na ndio maana unasoma chuo pori ifakara!!!
Kwa hiyo wenye div. Three kwa akili zako wamefel? Unajua pass mark za chuo adi uchaguliwe umepassijee? Au unatumia pua kufikir
 
hii ndiyo website watu msiwe mnabisha bila kujibidisha kufanya kauchunguzi
Academic Staff

Habari zenu wanajamvi Raisi wa serikali ya chuo kikuu kishiriki cha sayansi na tiba cha mt. Fransisko (FADHILI KALOKOLA) amemteua JESSAM NYATO, kuwa waziri mkuu mpya wa serikali yake, uteuzi huu umekuja baada ya kuvunjwa kwa baraza la mawaziri siku ya j,pili kutokana na kushindwa kuwajibika kwa baraza hilo.
my take.
Nampongeza Raisi kwa uteuzi huu makini ambao naamini utakuwa na manufaa kwa jamii ya watu wa chuo kikuu kishiriki cha mt. FRANSISKO

Naomba kuwasilisha.
 
Sasa utaletaje habari ya kichuo ambacho 99.999% hatukijui? kabandike upuuzi huu kwenye mbao za matangazo ya sekondari yenu
 
Sasa utaletaje habari ya kichuo ambacho 99.999% hatukijui? kabandike upuuzi huu kwenye mbao za matangazo ya sekondari yenu

Ww nawehamnazo! Kweli nani kakwambiahumu zinaletwa habar za vyuo vinavyojulikana kama hukijui ww tulia wenye akili wazchangie sio lazma uchangie
 
Kwa hiyo wenye div. Three kwa akili zako wamefel? Unajua pass mark za chuo adi uchaguliwe umepassijee? Au unatumia pua kufikir

kenge wewe ripoti kwa mods wanifungie!!hujui hata unabishana na nani unaleta ujinga!!haya niambie chuoni kwako hapo mwalimu wako yeyote nikutajie!!!au hujui pengine mi mwalimu wako!!nakushauri usome unaleta ujinga!!!
 
Poa mkuu mi shule npiga sikatai ushauri wako ila na habar zna umuhm wake mkuu thnx
 
Jamani sio kila kitu lazima ulete JF, mambo mengine muwe mnabandika kwenye mbao za matangazo za vyuo vyenu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom