Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimfanya Farid kuwa Inverted right wing atakupa kitu Bora kuliko Moloko.Ayoub lyanga wa Azam , Farid Mussa , iddi nado nk..
Sawa sawaMimi sio shabiki wa Yanga, ni Mnyama pure!! Ila kiukweli kwa hii Yanga ya saizi Jesus Moloko hana qualities za kuitumikia ile timu guys, ni wa kawaida mno. Anaweza akawa anatoa hizo assist lakini muda mwingi haoneshi kilicho bora kwenye miguu yake. Nadhani huu ndio msimu wake wa mwisho pale Matopeni.