Jesus Moloko afukuzwe Yanga sc

Jesus Moloko afukuzwe Yanga sc

Atatufaa kitango cha Uganga na uchawi pale Jangwani
 
Mimi sio shabiki wa Yanga, ni Mnyama pure!! Ila kiukweli kwa hii Yanga ya saizi Jesus Moloko hana qualities za kuitumikia ile timu guys, ni wa kawaida mno. Anaweza akawa anatoa hizo assist lakini muda mwingi haoneshi kilicho bora kwenye miguu yake. Nadhani huu ndio msimu wake wa mwisho pale Matopeni.
 
Mimi naona Yanga kwa sasa tuna shida na mshambuliaji tu mkali kumzidi Fiston Kalala Mayele.

Yaani yule mshambuliaji ambaye atatusababisha mashabiki tumsahau Mayele haraka kama tulivyomsahau Herritiel Makambo kipindi kile baada tu ya kuja Mayele. Hao akina Moloko, Skudu, nk sioni kama wanaiathiri timu kivile.
 
Mimi sio shabiki wa Yanga, ni Mnyama pure!! Ila kiukweli kwa hii Yanga ya saizi Jesus Moloko hana qualities za kuitumikia ile timu guys, ni wa kawaida mno. Anaweza akawa anatoa hizo assist lakini muda mwingi haoneshi kilicho bora kwenye miguu yake. Nadhani huu ndio msimu wake wa mwisho pale Matopeni.
Sawa sawa
 
Kama unaelewa mpira, utagundua kwamba jana kacheza kama kiungo namba 8. Could be the reason for his underperformance
 
Back
Top Bottom