Jeuri ya pesa: TP Mazembe yakataa dau la Al Ahly kumuuza Jackson Muleka

Mazembe mbali ya kuwa na timu imara ya wakubwa ikiwemo kununua wachezaji bora afrika lakini imefanya uwekezaji mkubwa wa timu za vijana lakini angalia simba na yanga kwenye timu za vijana na uwekezaji wao kuanzia benchi la ufundi ni kichekesho mtu kama mgosi hana sifa ya kuongoza hata timu ya wanawake, kocha wa makipa simba anafundishia uzoefu hata cheti hana
 
Mwekezaji a.k.a Kijana bilionea aliyewapa wachezaji wa Simba Zawadi ya bodaboda kwa kila mchezaji akisema zitawaongezea kipato nje ya mpira,sijui anataka wakitoka Tizi jioni wakapige deiwaka ya bodaboda.

Anyway ndio wawekezaji tuliobarikiwa nao hao.
me swez mlaumu moo maana ni mbongo mwenzetu na wabongo tabia zetu zakufichana fichana huwa hatupend kusema ukweli na kuweka mambo hadharani. Alijitutumua African Lyon akasizi, na Kabla ya hapo Singida United na jimbo pia yalimshinda; sasa sijui anamalengo gani na simba
 
Hii bei unainunua Simba na benchi lake la ufundi na unabakia na pesa ya kuendelea kunywa Yokozuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwekezaji a.k.a Kijana bilionea aliyewapa wachezaji wa Simba Zawadi ya bodaboda kwa kila mchezaji akisema zitawaongezea kipato nje ya mpira,sijui anataka wakitoka Tizi jioni wakapige deiwaka ya bodaboda.

Anyway ndio wawekezaji tuliobarikiwa nao hao.
Ni kweli maana wengine wanatoa zawadi za magodoro!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwekezaji a.k.a Kijana bilionea aliyewapa wachezaji wa Simba Zawadi ya bodaboda kwa kila mchezaji akisema zitawaongezea kipato nje ya mpira,sijui anataka wakitoka Tizi jioni wakapige deiwaka ya bodaboda.

Anyway ndio wawekezaji tuliobarikiwa nao hao.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] dadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mchezaji mmoja wa Mazembe thamani yake ni sawa na wachezaji wote wa mikia, viongozi wao, uwanja wa Mo Arena, bajeti yao ya miaka 3!

Sent using Jamii Forums mobile app
Vile vile pesa hiyo unasajili wachezaji wote wa vyura, lile dimbwi lao unakodishwa miaka kumi na unaozeshwa mashabiki wote wa vyura.
 
JM the Sniper huyo mtoto wa kamalondo ,kakulia hapo hapo Mazembe kuanzia don bosco
 
Mwekezaji a.k.a Kijana bilionea aliyewapa wachezaji wa Simba Zawadi ya bodaboda kwa kila mchezaji akisema zitawaongezea kipato nje ya mpira,sijui anataka wakitoka Tizi jioni wakapige deiwaka ya bodaboda.

Anyway ndio wawekezaji tuliobarikiwa nao hao.
Hahahaha, nadhani wataona utofauti wa Simba wanajiita kikosi cha billion 1 na tp Mazembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…