Yani eti sasa hivi nimekamata hela ndefu billion na ushee kitakachotokea vizazi na vizazi vitasimulia.
Natinga pale kambini lugalo nimevaa magwanda ya kijeshi la marekani yenye bendera ya marekani begani nilioaigiza Ebay nakuanza kuwazaba wajeda mfululizo wa makofi na kila kofi nalipa laki.
Naenda kwenye zile fremu ingia mwaga mwaga chana chana vitu fanya uharibifu na kila fremu niliofanya uaribifu nalipa million ishirini.
Halafu nakimbia nakujificha kwa Kibatala na kumkabidhi million 500 aweke mambo sawa.
adriz Mufti kuku The Infinity Smart911 Da'Vinci Intelligent businessman