Jeuri za Ufaransa ni kama hizi kwenye nchi walizowahi kuzitawala

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Raisi Macron wa Ufaransa amesema balozi wake nchini Niger, Sylvain Itte ataendelea kubaki nchini humo japo muda aliotakiwa kuongoka na watawala wa kijeshi kumalizika.na kwamba hata matamshi yake hayo balozi huyo alikuwa akiyasikiliza akiwa yumo ndani ya Niger.

Akaongeza kwamba nchi yake itaunga mkono uingiliaji wa kijeshi kama utajfanyika kutoka kwa nchi za ECOWAS
Jeuri na ubabe huo aliongeza kwa kusema kwamba Ufaransa bado inamuunga mkono raisi Bazoum aliyepinduliwa na kumsifu kama shujaa.

Matamshi hayo aliyatoa kwenye hotuba aliyoitoa kwenye kongamano la kujadilii sera za nje za nchi hiyo.

=====​

Macron insists that France will not change its position in condemning the coup and offering support to removed President Bazoum.

France’s ambassador to Niger will stay in the Sahel country despite pressure to leave from leaders of a recent coup, President Emmanuel Macron has said.

On Monday, he also reiterated France’s support to Niger’s overthrown President Mohamed Bazoum, whose decision not to resign Macron called courageous. Macron also said Paris would support any military action by The Economic Community of West African States (ECOWAS) in Niger.

The French leader, who was speaking during a major foreign policy speech to ambassadors gathered in Paris, confirmed that French envoy Sylvain Itte was listening in from Niger’s capital Niamey despite being given a 48-hour deadline to leave the country last Friday.

“France and its diplomats have faced particularly difficult situations in some countries in recent months, from Sudan, where France has been exemplary, to Niger at this very moment and I applaud your colleague and your colleagues who are listening from their posts,” he said.

Bazoum was toppled on July 26 and has been detained along with his family at the presidential palace in a coup that has been condemned by France and most of Niger’s neighbours.

ECOWAS has been trying to negotiate with the leaders of the coup but has said it is ready to deploy troops to restore constitutional order if diplomatic efforts fail.

On Friday, Niger’s Ministry of Foreign Affairs announced that French ambassador Itte had 48 hours to leave, saying he had refused to meet with the new rulers and citing French government actions that were “contrary to the interests of Niger”.

Macron insisted that France would not change its position in condemning the coup and offering support to Bazoum, stressing he had been democratically elected.

“I think our policy is the right one. It’s based on the courage of President Bazoum, and on the commitments of our ambassador on the ground who is remaining despite all the pressure, despite all the declarations made by the illegitimate authorities,” said Macron.

Al Jazeera
 
Hao wanajeshi wamepindua serikali halali ya Bazoum hawana uhalali wa kumtimua huyo balozi wa France.
 
Hata kama ni wewe

Demu uliemtesa
Ukamkondesha

Sasa amepata bwana mwingine na ulisahau ndo kipozeo chako kikuu why usiumie...

Kinachowauma ufaransa ni penz la bint [emoji1183] Niger kwenda kwa mwanaume mwingine... ([emoji635] urusi)

Kila akiwaza zile style pendwa za uranium kwa gharama ndogo anapagawa... Na huku mkewe amezeeka[emoji3]
 
Aahaaaaaa
 
yea ni sahihi japo njia nzuri zaidi ni kutumia jeshi

maandamano kutumia wapinzani ni sawa na kutofanya chechote maana wapinzani wanadhaminiwa na hizo nchi pia.
Huo ni mtego bro, wajichanganye kuvamia ubalozi wa ufaransa uone jeshi la Ufaransa litakavyo respond. Njia bora kidogo ni wananchi waandamane mpaka ubalozi wa ufaransa wapige kambi pale.
 
Huo ni mtego bro, wajichanganye kuvamia ubalozi wa ufaransa uone jeshi la Ufaransa litakavyo respond. Njia bora kidogo ni wananchi waandamane mpaka ubalozi wa ufaransa wapige kambi pale.
Jaalia Niger wamvamie balozi halafu wamkamate kwa kukosa kuheshimu amri halali ya utawala.Hilo si hekima kufanya.Lakini kama likifanyika unadhani Ufaransa itafanya nini.Na watakachokifanya kitakuwa na athari gani?
 
Jaalia Niger wamvamie balozi halafu wamkamate kwa kukosa kuheshimu amri halali ya utawala.Hilo si hekima kufanya.Lakini kama likifanyika unadhani Ufaransa itafanya nini.Na watakachokifanya kitakuwa na athari gani?
Narudia tena. Huo ni mtego, Mpaka sasa Ufaransa wamekosa sababu yoyote ya kuingilia kijeshi kwenye mgogoro, ECOWAS ndio turufu ya Ufaransa kuingia kijeshi hapo NIGER kama ECOWAS wataingiza majeshi ujue FRANCE yupo Nyuma. Ndio maana unaona hata hao wanajeshi licha ya masaa 48 kuisha bado hawathubutu kuingia kwenye ubalozi wa Ufaransa.
 
BREKING NEWS

Serikali ya kijeshi ya Niger imekata umeme na kufunga huduma za maji kwenye ubalozi wa Ufaransa baada ya Balozi huyo kukataa amri ya kuondoka nchini humo.

Hii naona Ufaransa imekabwa koo, balozi atakula nini, na kunywa nini?

Naona Majenerali wameukwepa mtego wa kutumia jeshi kumtimua balozi wa ufaransa kitendo ambacho kingesababisha jeshi la ufaransa kuingilia kati, badala yake wamekata maji na umeme kuelekea ubalozi wa Ufaransa. Hapa lazima balozi anyoshe mikono juu. Ngoja tuone Ufaransa itajibu nini.
 
Kweli kabisa wametumia akili hapo
 
Umeuwa mukuu.
 
Ni ajabu sana mgeni kumkatalia mwenyeji.Nimemkumbuka iddi amini nduli aliwapa wazungu siku 14na akawaambia ole wake atakayekaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…