Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balozi ni nchi kamiliYaani mgeni anavimba kwenye ardhi siyo yake. Na bado kuna wapuuzi humu jf wanamuunga mkono Mfaransa
Walisema ni Fake NewsBREKING NEWS
Serikali ya kijeshi ya Niger imekata umeme na kufunga huduma za maji kwenye ubalozi wa Ufaransa baada ya Balozi huyo kukataa amri ya kuondoka nchini humo.
Hii naona Ufaransa imekabwa koo, balozi atakula nini, na kunywa nini?
Naona Majenerali wameukwepa mtego wa kutumia jeshi kumtimua balozi wa ufaransa kitendo ambacho kingesababisha jeshi la ufaransa kuingilia kati, badala yake wamekata maji na umeme kuelekea ubalozi wa Ufaransa. Hapa lazima balozi anyoshe mikono juu. Ngoja tuone Ufaransa itajibu nini.
Kasome kitu kinaitwa diplomatic sanction utaelewaBalozi ni nchi kamili
Sawa mvuta mirungi.Hivi hata ingekuwa wewe ndio rais wa Ufaransa, ungewasikiliza hao wavuta bangi?
Mirungi inavutwa? itakuwa unapigwa mjengo.Sawa mvuta mirungi.