BREKING NEWS
Serikali ya kijeshi ya Niger imekata umeme na kufunga huduma za maji kwenye ubalozi wa Ufaransa baada ya Balozi huyo kukataa amri ya kuondoka nchini humo.
Hii naona Ufaransa imekabwa koo, balozi atakula nini, na kunywa nini?
Naona Majenerali wameukwepa mtego wa kutumia jeshi kumtimua balozi wa ufaransa kitendo ambacho kingesababisha jeshi la ufaransa kuingilia kati, badala yake wamekata maji na umeme kuelekea ubalozi wa Ufaransa. Hapa lazima balozi anyoshe mikono juu. Ngoja tuone Ufaransa itajibu nini.