Jewish na Ubaguzi dhidi ya Imani Nyingine

Mangovi

Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
62
Reaction score
158
Hii ni Israel angalia hawa watu walivo wabaguzi dhidi ya Imani nyingine mpaka wanafikia hali ya kuwatemea mate.

Video show Jewish worshippers spitting towards Christians and Churches in occupied East Jerusalem.

Hili liko kimaandiko kukatwa kwa mtini mzabibu ulimea na kustawi ila ipo siku utastawi tena. Wayahudi wanaonea Wakristo wivu baada ya wao kuukataa wokovu. Ila wakati wao kupandwa tena uko mlango.
 
Hii ni Israel angalia hawa watu walivo wabaguzi dhidi ya Imani nyingine mpaka wanafikia hali ya kuwatemea mate.

Video show Jewish worshippers spitting towards Christians and Churches in occupied East Jerusalem.
Wayahudi wana uadui na Wakristo, ni uadui wa miaka mingi tu. Ila Ukristo hajioni kuwa na adui Kwa kuwa adui wa Mkristo sio Muislamu wala Myahudi wala Banyani wala Wahindu wala Watao wala Wabuddha ila adui wao yuko kiroho zaidi .

Wayahudi wanapoteza muda tu . Sisi hayatuhusu.
 
Unaongelea wakristo wa wapi?? Kama wa Bongo wayahudi ni nduguzetu taifa teule na wao wateule ila waislam ndio maadui zetu wakubwa hatakama tutajifanya ila ukweli ndio huo...
 
Kwangu Mimi , Muislamu sio adui yangu unless ni jini.
Wayahudi pia sio adui yangu unless ni reptilian.
 
Back
Top Bottom