Jezi au atlas?

Jezi au atlas?

Mmeambiwa watu wanataka kusoma jiografia uwanjani?Mbona mlipiga kelele sana na kuzinanga jezi za watani wenu?Mnazidiwa na wajela jela?
Moyoni unakiri jezi ya yanga ni kali ila unajishaua kutafuta visababu.mipasho fc mikia fc bana.jezi lile jekundu kama tambara la kuingia kwa mlagula ndo jezi
 
Mmeambiwa watu wanataka kusoma jiografia uwanjani?Mbona mlipiga kelele sana na kuzinanga jezi za watani wenu?Mnazidiwa na wajela jela?
FB_IMG_15999707805782099.jpg
 
Back
Top Bottom