Hapo kwenye bold umenena vyema mkuu, japo kichwa Cha habari ni kama unamaanisha ni chaguo la wengi.Watu wengi huangalia rangi na vitu vingine...
Mimi binafsi napenda jezi iwe na Collar tu na isiwe na marangi rangi sana. Rangi moja yenye collar kwangu huwa jezi isiyo na mshindani.
Simba hatimae wametoa jezi kama walikuwa kichwani kwangu.