Jezi hizi za Simba SC hazina mshindani

Jezi hizi za Simba SC hazina mshindani

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Watu wengi huangalia rangi na vitu vingine...
Mimi binafsi napenda jezi iwe na Collar tu na isiwe na marangi rangi sana. Rangi moja yenye collar kwangu huwa jezi isiyo na mshindani.

Simba hatimae wametoa jezi kama walikuwa kichwani kwangu.

Screenshot 2023-08-04 142201.png
 
Watu wengi huangalia rangi na vitu vingine...
Mimi binafsi napenda jezi iwe na Collar tu na isiwe na marangi rangi sana. Rangi moja yenye collar kwangu huwa jezi isiyo na mshindani.

Simba hatimae wametoa jezi kama walikuwa kichwani kwangu.

Hapo kwenye bold umenena vyema mkuu, japo kichwa Cha habari ni kama unamaanisha ni chaguo la wengi.
 
Kumbe zenye collar zipo pia kwa kuuzwa? Nilidhani ni kwa top official tu wa Simba..bei gani hizo?
 
Back
Top Bottom