Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu mpya wa 2025/2026

Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu mpya wa 2025/2026

Aston Villa new home kit
IMG_7606.jpeg
 
Aisee jezi ya njano ya ac milan ni ya kuitafuta 🔥🔥 napenda jezi simple isiyo na mambo mengi..

Madem wa sinza wasije wakaivamia sasa 😂
Mashangingi wakiona uzi mkali tuu wanaufakamia😂😂
 
Back
Top Bottom