Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2022/2023

Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2022/2023

Liverpool 💓 wako moto sana kwenye swala la nyuzi hawakoseagi
 
Kwa msimu ulioisha Jezi kali kwa maoni yangu;

1.Real Madrid ile nyeupe ya nyumbani , pale adidas wametuliza kichwa wameweka bonge la combination white na michirizi ya blue kama wali na maharage na kiufito kama cha orange kwa mbali nacho kimenogesha mazima kiufupi Jezi kali tokea klabu ianzishwe
real-madrid-21-22-home-kit-3(1).jpg


2.Totenham nyeupe ya home . Bonge la ubunifu haina mambo mengi wala michirizi wa aina yeyote full white lakini imesimama sawasawa na rangi ya bukta zao inaenda a kabisa , Nike hawatoi Kazi chafu kwa Spurs

3.Liverpool .Hawa wamefunika vibaya Jezi zote tatu za msimu huu Nike wametuliza kichwa haswa hawajatoa Kazi mbovu .

4.Bukta za PSG . Kali unaweza kufanya hata ya mtoko
 
Back
Top Bottom