Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2023/2024

Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2023/2024

C5F7C1F1-1CE0-4204-8C20-2E0135444AA0.png
 
Mk
Mkuu una uhakika? Jezi zinauzwa hadi pound 75. Ambayo ni zaidi ya laki 2 za kwetu.
nilifuatilia sana nikagundua hizo ndio gharama, that was 2016/17 season.....

sidhan kama gharama zote kwa sasa zinafika mara 2 ya hio ya 2016, lazima itakua inacheza kwenye dola less than 10,

hizi za simba yanga na wenzao gharama zote mpk ufike dukani haifiki 15k tshs kwa pisi moja, nenda kariakoo waulize wadau watakupa jibu.........
 
Jezi ya zinazoongizwa kuvaliwa Tz
1.Man U home
2.Real Madrid home
3.Bayern home
4. Arsenal
5.New Caste ya Kijani
 
Back
Top Bottom