Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Uzi umetulia sana.Liverpool home kitView attachment 2982752
Nakubaliana na wewe mkuu, japo huo ufito mweupe umezidiUzi umetulia sana.
Wamechemka tu huo ufito shingoni.Nakubaliana na wewe mkuu, japo huo ufito mweupe umezidi
Hakuna Jersey hapa!Liverpool home kitView attachment 2982752
Hakuna Jersey hapo, walau hiyo ya Bayern iko vizuriLiverpool home kitView attachment 2982752
Adidas always wanatoa jezi nzuri kwa ArsenalNausubiri uzi wa arsenal, nina 99% utakuwa moto saana.
Sahihi mkuuWamechemka tu huo ufito shingoni.
Ila jezi iko vizuri sana muonekano wake.
Wolves chini ya kampuni ya Castore hawana kelele nyingi ila wanatoa jezi kali sana🔥🔥🔥Nasubiri wolverhamton wafanye yao.
Puma huwa hawana madoido mengi, jezi zao hunyooka sana, hivyo najua watatoa jezi kali kwa Man City kama ilivyo desturi yaoNamsubiri Haaland akiwa na uzi wake, lazima uzi uwakeee🔥🔥
Mbaya kuwahi kutokea katima simimu ya karibuni ,haswa kola ni kubwa sana.Liverpool home kitView attachment 2982752